Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Haikuwa kitu kizuri kabisa, nadhani Dkt Magufuli alidanganywa kutembea na hao wakuu.Zamani ungeweza kumuona Mkuu wa Majeshi, IGP, Mkuu wa Magereza, Mkuu wa Uhamiaji, Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa wote hao ungeweza kuwaona kwenye kila tukio alipo Rais wa Jamhuri ya Muungano.
Yaani hao wote ungeweza kuwaona kuanzia kwenye uwekaji wa jiwe la msingi, uzinduzi wa bodi, ufunguaji wa barabara, ugawaji wa vitambulisho vya machinga kote huko ungewakuta wameambatana na Rais.
Lakini mama Samia yeye yuko tofauti, haambatani nao bali kwa matukio muhimu yanayowahusu.
kwanini Rais Samia haambatani na wakuu hao kama zamani??
Ubaya wake nini?Haikuwa kitu kizuri kabisa, nadhani Dkt Magufuli alidanganywa kutembea na hao wakuu.
unaposema zamani unamaanisha lini maana hayo yalikuwa yanafanyika wakati wa magufuli tu, awamu iliyopita. Viongozi wote kabla ya magufuli walikuwa hawafanyi hivyo.Zamani ungeweza kumuona Mkuu wa Majeshi, IGP, Mkuu wa Magereza, Mkuu wa Uhamiaji, Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa wote hao ungeweza kuwaona kwenye kila tukio alipo Rais wa Jamhuri ya Muungano.
Yaani hao wote ungeweza kuwaona kuanzia kwenye uwekaji wa jiwe la msingi, uzinduzi wa bodi, ufunguaji wa barabara, ugawaji wa vitambulisho vya machinga kote huko ungewakuta wameambatana na Rais.
Lakini mama Samia yeye yuko tofauti, haambatani nao bali kwa matukio muhimu yanayowahusu.
kwanini Rais Samia haambatani na wakuu hao kama zamani??
Kuna dalili haeleweki!!!
Uko sahihiHaikuwa kitu kizuri kabisa, nadhani Dkt Magufuli alidanganywa kutembea na hao wakuu.
Jiongeze basi wakwetu, mbona una kichwa kigumuunaposema zamani unamaanisha lini maana hayo yalikuwa yanafanyika wakati wa magufuli tu, awamu iliyopita. Viongozi wote kabla ya magufuli walikuwa hawafanyi hivyo.
Zamani haikuwa rahisi kumjua mkurugenzi wa takukuru, Uhamiaji, TISS...waliofahamika ni mkuu wa majeshi na IGP tu
Hao wanatakiwa kupokea taarifa za ulinzi wa taifa na usalama wa rais, sasa wanapokuwa kwenye msafara huo uchambuzi watafanya saa ngapi?Ubaya wake nini?
Kakinukishe ndio Utajua wapo au hawapo..Zamani ungeweza kumuona Mkuu wa Majeshi, IGP, Mkuu wa Magereza, Mkuu wa Uhamiaji, Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa wote hao ungeweza kuwaona kwenye kila tukio alipo Rais wa Jamhuri ya Muungano.
Yaani hao wote ungeweza kuwaona kuanzia kwenye uwekaji wa jiwe la msingi, uzinduzi wa bodi, ufunguaji wa barabara, ugawaji wa vitambulisho vya machinga kote huko ungewakuta wameambatana na Rais.
Lakini mama Samia yeye yuko tofauti, haambatani nao bali kwa matukio muhimu yanayowahusu.
kwanini Rais Samia haambatani na wakuu hao kama zamani??
Mkuu..ile style ilikuwa ya wehu wa yule jamaa..Zamani ungeweza kumuona Mkuu wa Majeshi, IGP, Mkuu wa Magereza, Mkuu wa Uhamiaji, Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa wote hao ungeweza kuwaona kwenye kila tukio alipo Rais wa Jamhuri ya Muungano.
Yaani hao wote ungeweza kuwaona kuanzia kwenye uwekaji wa jiwe la msingi, uzinduzi wa bodi, ufunguaji wa barabara, ugawaji wa vitambulisho vya machinga kote huko ungewakuta wameambatana na Rais.
Lakini mama Samia yeye yuko tofauti, haambatani nao bali kwa matukio muhimu yanayowahusu.
kwanini Rais Samia haambatani na wakuu hao kama zamani??
too difficult for you to analyse?... or is above your mental comprehension?Jiongeze basi wakwetu, mbona una kichwa kigumu