Uongozi ni hekima, busara na kipawa (trait), na vyote hivi mtu huzaliwa navyo. Kama huna ndiyo unakuwa kama Magufuli. Kwa vile hakuwa na kipawa cha uongozi na hakujaliwa busara kitu pekee ambacho kingemfanya atawale ni MAGUVU tu.
Hivyo ili kuwaonyesha Watanzania kuwa yeye ni Rais wao na anaweza akawafanya chochote wakati wowote akawa ana tabia ya kuwa na CDF, DG-TISS, IGP, CG Prisons etc.
Madikteta wote duniani huwa ni waoga sana na wanajishuku (not safe), hivyo hutumia vyombo vya dola ku-legitimise utawala wao. Magufuli anaingia ukurasa mmoja na akina Mobutu, Iddi Amin, Hitler na Musolini