Kwanini Rais Samia haambatani na Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi kwenye matukio na hafla za Kitaifa?

Maendeleo yalipaswa kushirikisha wadau na taasisi mbalimbali ikiwemo jeshi na vyombo vya ulinzi.Ilikuwa jambo jema sana kwenda kwa pamoja na kushirikishana katika kila hatua ya Tanzania.Nchi sasa imekosa maono.
 
Haikuwa kitu kizuri kabisa, nadhani Dkt Magufuli alidanganywa kutembea na hao wakuu.
Hakudanganywa yule alikuwa hajiamini na alikuwa anaamini kwenye matumizi ya Nguvu na kutosha watu eti ndio kuwa Rais
Screenshot_20230513-145106.jpg
 
Ilikuwa ni kawaida tu...kwanini mkuu wa mkoa huwa anaambatana na kamati ya ulinzi na usalama? Na kwanini rais asiambatane na kamati ya ulinzi na usalama wa taifa⁉️⁉️
Sio Kila mahala hata Rais anaambatana nao inapobodi harafu ulinzi wa Rais sio wa maigizo na maonyesho
 
Zamani ungeweza kumuona Mkuu wa Majeshi, IGP, Mkuu wa Magereza, Mkuu wa Uhamiaji, Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa wote hao ungeweza kuwaona kwenye kila tukio alipo Rais wa Jamhuri ya Muungano.

Yaani hao wote ungeweza kuwaona kuanzia kwenye uwekaji wa jiwe la msingi, uzinduzi wa bodi, ufunguaji wa barabara, ugawaji wa vitambulisho vya machinga kote huko ungewakuta wameambatana na Rais.

Lakini mama Samia yeye yuko tofauti, haambatani nao bali kwa matukio muhimu yanayowahusu.

kwanini Rais Samia haambatani na wakuu hao kama zamani??

Simply sio mlevi wa madaraka.
 
Hana wasiwasi kama hayati Dikteta Uchwara
 
Hofu ya mapinduzi ilimtawala Mwendazake ndio sababu. Na kiusalama sio sawa. Kama inatokea ambushi manake kuna uwezekano wa viongozi wote wakuu kupotezwa.
 
Kauli yako sijaipenda. Haisaidii kumdhihaki kiongozi. Ukome mbwa
Huku ni kwenye mitandao ya kijamii sio kwenye kikao cha kanisa, huwezi lugha ngumu kakae na mumeo mtengeneze watoto. Ngiripori ww.
 
Zamani ungeweza kumuona Mkuu wa Majeshi, IGP, Mkuu wa Magereza, Mkuu wa Uhamiaji, Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa wote hao ungeweza kuwaona kwenye kila tukio alipo Rais wa Jamhuri ya Muungano.

Yaani hao wote ungeweza kuwaona kuanzia kwenye uwekaji wa jiwe la msingi, uzinduzi wa bodi, ufunguaji wa barabara, ugawaji wa vitambulisho vya machinga kote huko ungewakuta wameambatana na Rais.

Lakini mama Samia yeye yuko tofauti, haambatani nao bali kwa matukio muhimu yanayowahusu.

kwanini Rais Samia haambatani na wakuu hao kama zamani??
Hii habari ni unafiki mtupu,imelenga kuhakikisha hayati Magufuli anatukanwa, endeleeni na genge lenu la kuhakikisha mnapoteza legacy japo ni mlima mrefu sana
 
Zamani ungeweza kumuona Mkuu wa Majeshi, IGP, Mkuu wa Magereza, Mkuu wa Uhamiaji, Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa wote hao ungeweza kuwaona kwenye kila tukio alipo Rais wa Jamhuri ya Muungano.

Yaani hao wote ungeweza kuwaona kuanzia kwenye uwekaji wa jiwe la msingi, uzinduzi wa bodi, ufunguaji wa barabara, ugawaji wa vitambulisho vya machinga kote huko ungewakuta wameambatana na Rais.

Lakini mama Samia yeye yuko tofauti, haambatani nao bali kwa matukio muhimu yanayowahusu.

kwanini Rais Samia haambatani na wakuu hao kama zamani??
Ule ulikuwa ni ushamba wa Mzee wa chatto, alifanya vile ili aogopwe
 
Zamani ungeweza kumuona Mkuu wa Majeshi, IGP, Mkuu wa Magereza, Mkuu wa Uhamiaji, Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa wote hao ungeweza kuwaona kwenye kila tukio alipo Rais wa Jamhuri ya Muungano.
Siyo zamani. Ujinga huu alikuwa anafanya dikteta uchwara jiwe. Alikuwa mpuuzi sana huyu.
 
Zamani ungeweza kumuona Mkuu wa Majeshi, IGP, Mkuu wa Magereza, Mkuu wa Uhamiaji, Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa wote hao ungeweza kuwaona kwenye kila tukio alipo Rais wa Jamhuri ya Muungano.

Yaani hao wote ungeweza kuwaona kuanzia kwenye uwekaji wa jiwe la msingi, uzinduzi wa bodi, ufunguaji wa barabara, ugawaji wa vitambulisho vya machinga kote huko ungewakuta wameambatana na Rais.

Lakini mama Samia yeye yuko tofauti, haambatani nao bali kwa matukio muhimu yanayowahusu.

kwanini Rais Samia haambatani na wakuu hao kama zamani??
Mwinyi, Mkapa na Kikwete walikiwa wanaambata nao?
 
Uongozi ni hekima, busara na kipawa (trait), na vyote hivi mtu huzaliwa navyo. Kama huna ndiyo unakuwa kama Magufuli. Kwa vile hakuwa na kipawa cha uongozi na hakujaliwa busara kitu pekee ambacho kingemfanya atawale ni MAGUVU tu.

Hivyo ili kuwaonyesha Watanzania kuwa yeye ni Rais wao na anaweza akawafanya chochote wakati wowote akawa ana tabia ya kuwa na CDF, DG-TISS, IGP, CG Prisons etc.

Madikteta wote duniani huwa ni waoga sana na wanajishuku (not safe), hivyo hutumia vyombo vya dola ku-legitimise utawala wao. Magufuli anaingia ukurasa mmoja na akina Mobutu, Iddi Amin, Hitler na Musolini
 
Back
Top Bottom