Ronal Reagan
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,298
- 3,059
Pamoja sana mkuu.Naona madai ya KATIBA mpya yamepamba moto.
KATIBA mpya itaweka mifumo na limits imara ambazo Viongozi wakuu hawatojiamulia kufanya watakavyo.
Bring back our WARIOBA 💪💪💪💪
Katiba Mpya! Katiba Mpya! Katiba Mpya!.
Na muda pekee na muafaka ni sasa.