Kwanini Rais Samia haambatani na Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi kwenye matukio na hafla za Kitaifa?

Najiuliza tu kwani ni Rais ndio huwa anapanga ni akina nani wawepo na akina nani wasiwepo ?! Nikijua hili naweza nikachangia vizuri zaidi !
 
Tuseme hakuwa kiongozi aliyepikwa. Alidanganya watu kwamba yupo kwenye vita ya kiuchumi! Mwehu yule
 
Magu aliharibu heshima za taasisi nyingi mpaka zikaonekana ni za kisiasa.

Wakati haitakiwi kufungamana na upande wowote.

Mungu atuepushie mbali kadhia ya vile.

Mpaka BODIGADI eti anaambiwa atoe hella ya harambee!.

Acha atangulie tu,tutamfata badae.

Taasisi ziligeuzwa kuwa UVCCM PhD.

Alivunja katiba mchanna kweupee.
 
JPM kwa matendo yake alijua akiwaacha nyuma tu ipo siku ataisoma namba, ili awe salama Bora atembee nao
 
Kuwahusisha viongozi hso wa vyombo vya dola hata kwenye matukio ya kitaifa ambayo ni trivial ni matumizi mabaya ya vyombo hivyo.
 
Tuseme hakuwa kiongozi aliyepikwa. Alidanganya watu kwamba yupo kwenye vita ya kiuchumi! Mwehu yule
Miaka 5, Magufuli katengeneza wajinga wengi sana na bado wanamkumbuka kuwa ni "shujaa", wengine wanamuita "mwamba". Ila Mungu alitusaidia kumuondoa Machi 2021
 
Ulikuwa ushamba wa JIWE na woga wa kupinduliwa
 
Samia sio mshamba.
 
Hiyo ndiyo tofauti kati ya kiongozi na mtawala. Kiongozi huongoza njia kupitia katika imani aliyokuwa kwa wasaidizi wake ili kutimiza malengo ya kitaasisi, huiona taasisi kama mali ya umma, huwaamini wasaidizi wake hata kama hawapo mbele ya macho yake.

Lakini mtawala yeye huwa mbinafsi na taasisi huiendesha kama mali yake binafsi, na wala hana imani na wasaidizi wake, pengine mpaka awaone mbele ya macho yake.
 
Naona madai ya KATIBA mpya yamepamba moto.

KATIBA mpya itaweka mifumo na limits imara ambazo Viongozi wakuu hawatojiamulia kufanya watakavyo.

Bring back our WARIOBA 💪💪💪💪
 
Sahihi kabisa %.

Yule Mwendazake alikuja na mambo yake ya ajabu ajabu- sijui ulikuwa ni ulimbukeni au nini.

Vizuri kujisahihisha unapokosea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…