Kenya 2022 Kwanini Rais Samia mpaka sasa hajampongezi Rais Mteule William Ruto?

Kenya 2022 General Election
Huyu mama aache uswahili.. ampongeze Ruto direct aache mambo yao ya kinafki nafki na kichawi ya CCM.
 
Tutajie wabaya wake maana umekiri kuwajua!
 
Unafiki tu huo na Kujikosha, mliset mipango Mungu kaingilia kati kaivuruga.

Viongozi wa kifalme kurithishana madaraka wamepigwa, inakuja na huku.
Unaongelea nini? Umechanganyikiwa au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…