Kenya 2022 Kwanini Rais Samia mpaka sasa hajampongezi Rais Mteule William Ruto?

Kenya 2022 Kwanini Rais Samia mpaka sasa hajampongezi Rais Mteule William Ruto?

Kenya 2022 General Election
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Samia Suluhu Hassan kupitia ukurasa wake rasmi wa mtandao wa Twitter ametuma salamu za pongezi kwa Rais Mteule wa Jamhuri ya Kenya, Mhe William Samoei Arap Rutto.

Katika ujumbe wake Rais Samia amewapongeza Wakenya kwa kufanya uchaguzi kwa amani na ameeleza matazamio yake ya nchi za Kenya na Tanzania kuendelea kufanya kazi kwa ukaribu
View attachment 2325015
Huyu mama aache uswahili.. ampongeze Ruto direct aache mambo yao ya kinafki nafki na kichawi ya CCM.
 
Tayari kashampongeza
Screenshot_2022-08-16-08-54-15-975_com.twitter.android.jpg
 
Unafiki tu huo na Kujikosha, mliset mipango Mungu kaingilia kati kaivuruga.

Viongozi wa kifalme kurithishana madaraka wamepigwa, inakuja na huku.
Unaongelea nini? Umechanganyikiwa au?
 
Back
Top Bottom