Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Tangu lini Kumpongeza mshindi ikawa kufanya kazi kishabiki?Rais hafanyi kazi kishabiki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tangu lini Kumpongeza mshindi ikawa kufanya kazi kishabiki?Rais hafanyi kazi kishabiki
Huyu mama aache uswahili.. ampongeze Ruto direct aache mambo yao ya kinafki nafki na kichawi ya CCM.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Samia Suluhu Hassan kupitia ukurasa wake rasmi wa mtandao wa Twitter ametuma salamu za pongezi kwa Rais Mteule wa Jamhuri ya Kenya, Mhe William Samoei Arap Rutto.
Katika ujumbe wake Rais Samia amewapongeza Wakenya kwa kufanya uchaguzi kwa amani na ameeleza matazamio yake ya nchi za Kenya na Tanzania kuendelea kufanya kazi kwa ukaribu
View attachment 2325015
Kwakua wewe ndio umemwambia au??Mama yetu msikivu. Amechukua Ushauri na ameufanyia kazi
Hapana kwa utashi wake tu! Sio kwa sababu yanguKwakua wewe ndio umemwambia au??
Una kiherehere...
Nimeona na kumshukuru tayari Rais wangu mpendwaTayari kashampongeza
Utajiwe wewe ili iweje?Tutajie wabaya wake maana umekiri kuwajua!!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hebu ngoja nimpongeze mimi kwanza kwa niaba yake.
Braza Ruto , Hongera sana bro, ulipambana kiume, na Mungu akakupambania. Kila lakheri bro.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwakua wewe ndio umemwambia au??
My country pipo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji174][emoji119][emoji119][emoji119]Tayari kashampongeza
Kjjiweni leo watakoma...utawaonesha na screenshot kuwa wewe ndio ulimshauri apongeze...nyambafNimeona na kumshukuru tayari Rais wangu mpendwa
Unafiki tu huo na Kujikosha, mliset mipango Mungu kaingilia kati kaivuruga.Utajiwe wewe ili iweje?
Hivi mfano mwendazake asingeenda zake jee ingemchukua muda gani kumpongeza Ruto?Nimeona na kumshukuru tayari Rais wangu mpendwa
Asingetoa pongezi kamweHivi mfano mwendazake asingeenda zake jee ingemchukua muda gani kumpongeza Ruto?
Maana yule mtu alichukulia Urais kama issue personal
Unaongelea nini? Umechanganyikiwa au?Unafiki tu huo na Kujikosha, mliset mipango Mungu kaingilia kati kaivuruga.
Viongozi wa kifalme kurithishana madaraka wamepigwa, inakuja na huku.