MakinikiA
JF-Expert Member
- Jun 7, 2017
- 5,104
- 6,827
Kwa hali ilivyotokea Leo sikutegemea mama ametoka povu vile heee🙄 kulalamika suala la Ndugai ni kutokujiamini yeye ndiye Rais ingetosha tu kuwaeleza Watanzania kwamba amesamehe yote na kwa kuwa uongozi hakuutafuta hategemei malumbano ya kugombea kiti Cha Urais na Watanzania wangemuomba aendelee Kwanza yeye mwenye ajiulize huo Urais kaupataje halafu ung'ang'anie wa Nini ni sawa na manager akuachie office wewe Supervisor halafu useme hhutoki