Eric Cartman
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 11,966
- 11,218
Kanogewa haraka sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na mbona amewasifia wale waliomtukana jobu?Rais hajitungii anayoongea na hata leo kasema watu wake walimpa taarifa.
Pili Rais alisema fanyeni ukosoaji lakini sio kutukana na kidharirisha.
Jinsi alivyofanya Jobu ni kukosoa au kutukana?
Na wewe uwage na akili,yeye kwa cheo na nafasi yake hakutakiwa kuwasilisha hoja yake kwa njia ya kudharau mhimili mwingine.Na mbona amewasifia wale waliomtukana jobu?
Hao ndio wenye chuki wakidhani wao ndio Wana haki sasa wamesutwa live.Mleta mada wewe ni mjinga maana nikisema mpumbavu sitakuwa nimekutendea haki,unaanzaje kusema Mh Rais amautaka Urais wakati ni Rais?
Kwa kukuwa kaupata baaada ya mgombea Mwenza kutangulia mbele ya haki basi aache asipambanie Urais wake??wewe zinakutisha?? Sasa nakupasulia ni hivi kawambie hakuna Rangi mtaacha kuona hadi 2025 mtakuwa manakohoa Damu tulieni Dawa iwaingie na sisi tupo na Mama subiria sasa mkohoe sementi mipango yenu tulishaijua.
Ndio weakness za mama hizoWadau naomba kufahamu kama Tozo ni jambo la Muungano.
Kwani nimemskia Waziri wa Fedha Bw. Mwigulu Nchemba akidai kuwa kwa Mwezi wa Dec 2021. Zanzibar imepelekewa Bil. 161Tshs ili hali Bara Tshs Bil 91. Ina kuweje Pesa za Walipa kodi wa Bara ziende Zanzabar? Zanzibar ina watu wake wa kulipa Tozo. Inakuweje hii? Je ina maana kila mwezi Pesa za Bara zina pelekwa Zanzibar? Au ndio kujipendekeza bila kujali Sheria, taratibu na misingi ya Muungano pamoja na Sera za Fedha?
Siri ya mtungi ajuae ni kata. Ukiona kiongozi mkubwa serikalini kama Speaker ( leader of the legislative body), anaamua kwenda jukwaani kushambulia Taasisi ya Uraisi licha ya kwamba ana mbinu nyingi angeweza kutumia kufikisha ujumbe wake, basi ujue kuna mengi ndani ya pazia. Bi mkubwa ataka kuonyesha kwamba hababaishwi na mtu.Kwa hali ilivyotokea Leo sikutegemea mama angetoka povu vile heee[emoji849] kulalamika suala la Ndugai ni kutokujiamini yeye ndiye Rais ingetosha tu kuwaeleza Watanzania kwamba amesamehe yote na kwa kuwa uongozi hakuutafuta hategemei malumbano ya kugombea kiti Cha Urais na Watanzania wangemuomba aendelee Kwanza yeye mwenye ajiulize huo Urais kaupataje halafu ung'ang'anie wa Nini ni sawa na manager akuachie office wewe Supervisor halafu useme hhutoki
sijakuelewa unapo sema hajaugharamia unamaana gani maana wakati wa uchaguzi samia alizunguka karibu mikoa yote tanzania kuomba kura au ulikuwa msukule hukimuona?Kwa hali ilivyotokea Leo sikutegemea mama angetoka povu vile heee🙄 kulalamika suala la Ndugai ni kutokujiamini yeye ndiye Rais ingetosha tu kuwaeleza Watanzania kwamba amesamehe yote na kwa kuwa uongozi hakuutafuta hategemei malumbano ya kugombea kiti Cha Urais na Watanzania wangemuomba aendelee Kwanza yeye mwenye ajiulize huo Urais kaupataje halafu ung'ang'anie wa Nini ni sawa na manager akuachie office wewe Supervisor halafu useme hhutoki
Waliopo Zanzibar wanalipa tozo pia ila iinakuwa Zanzibar wapate bi 161 alafu bara bil 91?Wadau naomba kufahamu kama Tozo ni jambo la Muungano.
Kwani nimemskia Waziri wa Fedha Bw. Mwigulu Nchemba akidai kuwa kwa Mwezi wa Dec 2021. Zanzibar imepelekewa Bil. 161Tshs ili hali Bara Tshs Bil 91. Ina kuweje Pesa za Walipa kodi wa Bara ziende Zanzabar? Zanzibar ina watu wake wa kulipa Tozo. Inakuweje hii? Je ina maana kila mwezi Pesa za Bara zina pelekwa Zanzibar? Au ndio kujipendekeza bila kujali Sheria, taratibu na misingi ya Muungano pamoja na Sera za Fedha?
Wanawake wanapenda kutoa mapovu hadharani, haijalishi cheo....Kwa hali ilivyotokea Leo sikutegemea mama angetoka povu vile heee🙄 kulalamika suala la Ndugai ni kutokujiamini yeye ndiye Rais ingetosha tu kuwaeleza Watanzania kwamba amesamehe yote na kwa kuwa uongozi hakuutafuta hategemei malumbano ya kugombea kiti Cha Urais na Watanzania wangemuomba aendelee Kwanza yeye mwenye ajiulize huo Urais kaupataje halafu ung'ang'anie wa Nini ni sawa na manager akuachie office wewe Supervisor halafu useme hhutoki
Alichoongea Ndugai ubaya wake ni upi? Tena nilidhani mtu wa kumshukia Ndugai tulikuwa sisi wananchi kwa kuamua kuruhusu upishwaji wa miswada ya tozo haraka haraka bila kujali hali.Mama asingemjibu Ndugai kwa namna alivyomjibu ningemshangaa.
Sometimes watu wapuuzi na vigeugeu style za Ndugai inabidi uwahit hard, hit fast and hit them often.
Kampeni ya 2025 imeanza leo, ajabu kubwa. Ukilima maboga usitegemee kuvuna njugu.Kwa hali ilivyotokea Leo sikutegemea mama angetoka povu vile heee🙄 kulalamika suala la Ndugai ni kutokujiamini yeye ndiye Rais ingetosha tu kuwaeleza Watanzania kwamba amesamehe yote na kwa kuwa uongozi hakuutafuta hategemei malumbano ya kugombea kiti Cha Urais na Watanzania wangemuomba aendelee Kwanza yeye mwenye ajiulize huo Urais kaupataje halafu ung'ang'anie wa Nini ni sawa na manager akuachie office wewe Supervisor halafu useme hhutoki
Mpaka watu waelewe kuwa Zanzibar inatunyonya watakuwa mamekaa sawaWadau naomba kufahamu kama Tozo ni jambo la Muungano.
Kwani nimemskia Waziri wa Fedha Bw. Mwigulu Nchemba akidai kuwa kwa Mwezi wa Dec 2021. Zanzibar imepelekewa Bil. 161Tshs ili hali Bara Tshs Bil 91. Ina kuweje Pesa za Walipa kodi wa Bara ziende Zanzabar? Zanzibar ina watu wake wa kulipa Tozo. Inakuweje hii? Je ina maana kila mwezi Pesa za Bara zina pelekwa Zanzibar? Au ndio kujipendekeza bila kujali Sheria, taratibu na misingi ya Muungano pamoja na Sera za Fedha?
Mkuu we Wacha tu, Zanzibar population chini ya millioni 3 lakini ndio hivyo tena. Na bado anafikiri 2025 sisi huku Bara tutamchagua ...... ...... ....... Watoto wa watumwa huwa hawakui.Wadau naomba kufahamu kama Tozo ni jambo la Muungano.