Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni mnafiki tu ndiye anaweza kusema haupendi urais!! kwa hiyo mama kama binadamu ana haki ya kuupenda urais!! asilaumiwe kwa hilo!! Katelefone anaupenda, Ndugai anaupenda, Nchemba anaupenda, na wengine wengi!!Yani huyu mama anaonekana dhahiri kuwa ni kama anaupenda sana huo Urais aliobahatika kuupata hadi anatia mashaka makubwa. Kila siku ni vita tuu.
Kiongozi ukiwa hivyo unatia sana shaka. 2025 ni mbali sana, sasa kila siku ajenda ni 2025 yani tumewazidi wakenya ambao kwao urais ni jambo la kufa na kupona.
Yani inafikia hatua mtu akikosoa tu basi bango linahamia 2025. Mimi ni muumini wa mihimili ambayo inakosoana na hiyo ndiyo maana ya mgawanyo wa madaraka. Mihimili inayokosoana ndiyo afya imara ya Watanzania. Samia naye alipaswa kutoa dongo kwa wale wabunge 19 ambao kule bungeni hawana kofia ili Jobu ajirekebishe. Hiyo ndiyo afya.
Haya ndiyo matokeo ya kupata madaraka halafu unaangalia zaidi eneo unalotoka! Trust me hautakuwa na afya ya uongozi kama utaendelea hivi. Aghhhhrr yani huo urais bado anaona haumtoshi yani kuna kitu kapunjwa!
Atake asitake kuanzia Novemba 2025 raisi hatakuwa yeyeYani huyu mama anaonekana dhahiri kuwa ni kama anaupenda sana huo Urais aliobahatika kuupata hadi anatia mashaka makubwa. Kila siku ni vita tuu.
Kiongozi ukiwa hivyo unatia sana shaka. 2025 ni mbali sana, sasa kila siku ajenda ni 2025 yani tumewazidi wakenya ambao kwao urais ni jambo la kufa na kupona.
Yani inafikia hatua mtu akikosoa tu basi bango linahamia 2025. Mimi ni muumini wa mihimili ambayo inakosoana na hiyo ndiyo maana ya mgawanyo wa madaraka. Mihimili inayokosoana ndiyo afya imara ya Watanzania. Samia naye alipaswa kutoa dongo kwa wale wabunge 19 ambao kule bungeni hawana kofia ili Jobu ajirekebishe. Hiyo ndiyo afya.
Haya ndiyo matokeo ya kupata madaraka halafu unaangalia zaidi eneo unalotoka! Trust me hautakuwa na afya ya uongozi kama utaendelea hivi. Aghhhhrr yani huo urais bado anaona haumtoshi yani kuna kitu kapunjwa!
Rais anamfokea speaker kama mtoto mdogo.Yani huyu mama anaonekana dhahiri kuwa ni kama anaupenda sana huo Urais aliobahatika kuupata hadi anatia mashaka makubwa. Kila siku ni vita tuu.
Kiongozi ukiwa hivyo unatia sana shaka. 2025 ni mbali sana, sasa kila siku ajenda ni 2025 yani tumewazidi wakenya ambao kwao urais ni jambo la kufa na kupona.
Yani inafikia hatua mtu akikosoa tu basi bango linahamia 2025. Mimi ni muumini wa mihimili ambayo inakosoana na hiyo ndiyo maana ya mgawanyo wa madaraka. Mihimili inayokosoana ndiyo afya imara ya Watanzania. Samia naye alipaswa kutoa dongo kwa wale wabunge 19 ambao kule bungeni hawana kofia ili Jobu ajirekebishe. Hiyo ndiyo afya.
Haya ndiyo matokeo ya kupata madaraka halafu unaangalia zaidi eneo unalotoka! Trust me hautakuwa na afya ya uongozi kama utaendelea hivi. Aghhhhrr yani huo urais bado anaona haumtoshi yani kuna kitu kapunjwa!
Rais hajitungii anayoongea na hata leo kasema watu wake walimpa taarifa.Yani huyu mama anaonekana dhahiri kuwa ni kama anaupenda sana huo Urais aliobahatika kuupata hadi anatia mashaka makubwa. Kila siku ni vita tuu.
Kiongozi ukiwa hivyo unatia sana shaka. 2025 ni mbali sana, sasa kila siku ajenda ni 2025 yani tumewazidi wakenya ambao kwao urais ni jambo la kufa na kupona.
Yani inafikia hatua mtu akikosoa tu basi bango linahamia 2025. Mimi ni muumini wa mihimili ambayo inakosoana na hiyo ndiyo maana ya mgawanyo wa madaraka. Mihimili inayokosoana ndiyo afya imara ya Watanzania. Samia naye alipaswa kutoa dongo kwa wale wabunge 19 ambao kule bungeni hawana kofia ili Jobu ajirekebishe. Hiyo ndiyo afya.
Haya ndiyo matokeo ya kupata madaraka halafu unaangalia zaidi eneo unalotoka! Trust me hautakuwa na afya ya uongozi kama utaendelea hivi. Aghhhhrr yani huo urais bado anaona haumtoshi yani kuna kitu kapunjwa!
Na Mimi pia naupendaNi mnafiki tu ndiye anaweza kusema haupendi urais!! kwa hiyo mama kama binadamu ana haki ya kuupenda urais!! asilaumiwe kwa hilo!! Katelefone anaupenda, Ndugai anaupenda, Nchemba anaupenda, na wengine wengi!!
Mnatoana roho yarabi ii iiYani huyu mama anaonekana dhahiri kuwa ni kama anaupenda sana huo Urais aliobahatika kuupata hadi anatia mashaka makubwa. Kila siku ni vita tuu.
Kiongozi ukiwa hivyo unatia sana shaka. 2025 ni mbali sana, sasa kila siku ajenda ni 2025 yani tumewazidi wakenya ambao kwao urais ni jambo la kufa na kupona.
Yani inafikia hatua mtu akikosoa tu basi bango linahamia 2025. Mimi ni muumini wa mihimili ambayo inakosoana na hiyo ndiyo maana ya mgawanyo wa madaraka. Mihimili inayokosoana ndiyo afya imara ya Watanzania. Samia naye alipaswa kutoa dongo kwa wale wabunge 19 ambao kule bungeni hawana kofia ili Jobu ajirekebishe. Hiyo ndiyo afya.
Haya ndiyo matokeo ya kupata madaraka halafu unaangalia zaidi eneo unalotoka! Trust me hautakuwa na afya ya uongozi kama utaendelea hivi. Aghhhhrr yani huo urais bado anaona haumtoshi yani kuna kitu kapunjwa!
Nilikiwa naskia urithi unagombaniwa na watu ambaoMnatoana roho yarabi ii ii
Kwa Malezi alizoacha Jiiiweeee.🎶🎤🎸🎶
Sisi rahaaa😀
Mimi napenda pesa tu urais wa niniKaka unahisi kuna mtu ambae haupendi urais?
Usimuonee mama yangu mkuu.
Sisi kazi yetu kuchochea kuniNilikiwa naskia urithi unagombaniwa na watu ambao
hawajautolea jasho sasa naelewea urithi mtamu jmn.
hahaha!!! viva mitano tena...
Hiyo ndio katiba yenu mbovu. Haisemi kuhusu kumuondoa rais
Wewe hicho ulichonacho hukipendi? Mf nguo, nyumba, garYani huyu mama anaonekana dhahiri kuwa ni kama anaupenda sana huo Urais aliobahatika kuupata hadi anatia mashaka makubwa. Kila siku ni vita tuu.
Kiongozi ukiwa hivyo unatia sana shaka. 2025 ni mbali sana, sasa kila siku ajenda ni 2025 yani tumewazidi wakenya ambao kwao urais ni jambo la kufa na kupona.
Yani inafikia hatua mtu akikosoa tu basi bango linahamia 2025. Mimi ni muumini wa mihimili ambayo inakosoana na hiyo ndiyo maana ya mgawanyo wa madaraka. Mihimili inayokosoana ndiyo afya imara ya Watanzania. Samia naye alipaswa kutoa dongo kwa wale wabunge 19 ambao kule bungeni hawana kofia ili Jobu ajirekebishe. Hiyo ndiyo afya.
Haya ndiyo matokeo ya kupata madaraka halafu unaangalia zaidi eneo unalotoka! Trust me hautakuwa na afya ya uongozi kama utaendelea hivi. Aghhhhrr yani huo urais bado anaona haumtoshi yani kuna kitu kapunjwa!
Hamumtaki?Huyo ni wa kuroga tu
Mmmhh! Inajuaje kama wanaompa wako honest na yeye je kama wanataka kumpima apanic ili wamjue vema au kama wanataka ashindwe asalimu amri mapemaYeye anapewa taarifa saa 24/7 anajulishwa kila kitu, kaa ukijua anachokiongea hakitungi ni uhalisia.