Kwanini Samia anatumia nguvu kubwa kutetea uongozi ambao hakuugharamia?

Kwanini Samia anatumia nguvu kubwa kutetea uongozi ambao hakuugharamia?

Mpaka watu waelewe kuwa Zanzibar inatunyonya watakuwa mamekaa sawa
Kabisaa. Na ktk hii vita ya Samia na Job. Job anafahamu mengiii. Na huenda mikopo inaenda Zanzibar kimya kimya. Ila kuna siku ktk hili Sakata tutamkumbuka Job.

Samia kageuza Bara kama Shamba la Bibi. Anachuma ana peleka kwao.
 
Mkuu we Wacha tu, Zanzibar population chini ya millioni 3 lakini ndio hivyo tena. Na bado anafikiri 2025 sisi huku Bara tutamchagua ...... ...... ....... Watoto wa watumwa huwa hawakui.
Ha ha ha usikute hata hii Mikopo Job ana piga kelele Job anajua inaenda Zanzibar kupitia Deni la Jamhuri. Afu hawa CCM wanatuma wenyeviti kumtukana Job bila tafiti. Mama akawanie Urais Zanzibar siyo Bara.
 
Wadau naomba kufahamu kama Tozo ni jambo la Muungano.
Kwani nimemskia Waziri wa Fedha Bw. Mwigulu Nchemba akidai kuwa kwa Mwezi wa Dec 2021. Zanzibar imepelekewa Bil. 161Tshs ili hali Bara Tshs Bil 91. Ina kuweje Pesa za Walipa kodi wa Bara ziende Zanzabar? Zanzibar ina watu wake wa kulipa Tozo. Inakuweje hii? Je ina maana kila mwezi Pesa za Bara zina pelekwa Zanzibar? Au ndio kujipendekeza bila kujali Sheria, taratibu na misingi ya Muungano pamoja na Sera za Fedha?

Huko ambako Watanzania wanasema mfukoni mambo ni ahueni ni Tanganyika au Zanzibar?
 
sijakuelewa unapo sema hajaugharamia unamaana gani maana wakati wa uchaguzi samia alizunguka karibu mikoa yote tanzania kuomba kura au ulikuwa msukule hukimuona?
aliomba tumchague yeye awe Nani ???
 
Back
Top Bottom