Kwanini Samia anatumia nguvu kubwa kutetea uongozi ambao hakuugharamia?

Hahaha moto lazima uwake, mlioahidiwa yote kuhusu power sharing, hamtopata kitu, rudini mezani tu muanze upya, CCM haiwezi kukubali Power Sharing na akina Lema na Tundu Lisu.

Poleni sana ni zero sum game!
 
Hii Katiba mbovu iliyopo imetupelekea mipasho na mihemko ikulu.
 
kumuondoa jobu hawezi kamwe,hata afanyeje.ila sema anachokosea ni kutoa hisia za 2025,mpaka hapo tayari anatia watu mashaka ,je huyu tukimuongeza awamu nyingine si atatubadilikia baadae!?, hata Kama ikulu ni tamu ,usizitoe hisia waziwazi kila mtu akajua !! mdomo ulikiponza kichwa!! Wahenga walisema!!
 
Ni mnafiki tu ndiye anaweza kusema haupendi urais!! kwa hiyo mama kama binadamu ana haki ya kuupenda urais!! asilaumiwe kwa hilo!! Katelefone anaupenda, Ndugai anaupenda, Nchemba anaupenda, na wengine wengi!!
 
Atake asitake kuanzia Novemba 2025 raisi hatakuwa yeye
 
Rais anamfokea speaker kama mtoto mdogo.

Anyway huu ufala alitengeneza mwenyewe Ndugai kwa kuliua bunge.
 
Rais hajitungii anayoongea na hata leo kasema watu wake walimpa taarifa.

Pili Rais alisema fanyeni ukosoaji lakini sio kutukana na kidharirisha.

Jinsi alivyofanya Jobu ni kukosoa au kutukana?
 
Ni mnafiki tu ndiye anaweza kusema haupendi urais!! kwa hiyo mama kama binadamu ana haki ya kuupenda urais!! asilaumiwe kwa hilo!! Katelefone anaupenda, Ndugai anaupenda, Nchemba anaupenda, na wengine wengi!!
Na Mimi pia naupenda
 
Mnatoana roho yarabi ii ii
Kwa Mali alizoacha Jiiiweeee.🎶🎤🎸🎶

Sisi rahaaa😀
 
Function ya leo naona ilikuwa ni ya kumshukia ndugai.......kwa mwendo huu 2025 tutafika tumechoka sana, mikopo iendelee....
 
Wewe hicho ulichonacho hukipendi? Mf nguo, nyumba, gar
 
Yeye anapewa taarifa saa 24/7 anajulishwa kila kitu, kaa ukijua anachokiongea hakitungi ni uhalisia.
Mmmhh! Inajuaje kama wanaompa wako honest na yeye je kama wanataka kumpima apanic ili wamjue vema au kama wanataka ashindwe asalimu amri mapema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…