Kwanini Samia anatumia nguvu kubwa kutetea uongozi ambao hakuugharamia?

Rais hajitungii anayoongea na hata leo kasema watu wake walimpa taarifa.

Pili Rais alisema fanyeni ukosoaji lakini sio kutukana na kidharirisha.

Jinsi alivyofanya Jobu ni kukosoa au kutukana?
Na mbona amewasifia wale waliomtukana jobu?
 
Ayubu Leo kapigwa za Uso

Lkn Ayubu yule ni mjanja
 
Na mbona amewasifia wale waliomtukana jobu?
Na wewe uwage na akili,yeye kwa cheo na nafasi yake hakutakiwa kuwasilisha hoja yake kwa njia ya kudharau mhimili mwingine.

Yeye kama mhimili alikuwa na nafasi ya kuhoji vizuri Bungeni bila kutumia lugha ya kuudhi kama anavyowafanyaga wenzie.

Sasa unatumia lugha ya kuudhi kwa mhimili uliojikita unategemea nini?

Si ndio Bunge la ndugaye walitaka kugomea bajeti kwa nini walijieleza?

Kwa ccm uwajibikaji na dhamana yao iko Kwenye chama zaidi kuliko Serikalini.
 
Mleta mada wewe ni mjinga maana nikisema mpumbavu sitakuwa nimekutendea haki,unaanzaje kusema Mh Rais amautaka Urais wakati ni Rais?
Kwa kukuwa kaupata baaada ya mgombea Mwenza kutangulia mbele ya haki basi aache asipambanie Urais wake??wewe zinakutisha?? Sasa nakupasulia ni hivi kawambie hakuna Rangi mtaacha kuona hadi 2025 mtakuwa manakohoa Damu tulieni Dawa iwaingie na sisi tupo na Mama subiria sasa mkohoe sementi mipango yenu tulishaijua.
 
Hao ndio wenye chuki wakidhani wao ndio Wana haki sasa wamesutwa live.
 
Ndio weakness za mama hizo
 
Siri ya mtungi ajuae ni kata. Ukiona kiongozi mkubwa serikalini kama Speaker ( leader of the legislative body), anaamua kwenda jukwaani kushambulia Taasisi ya Uraisi licha ya kwamba ana mbinu nyingi angeweza kutumia kufikisha ujumbe wake, basi ujue kuna mengi ndani ya pazia. Bi mkubwa ataka kuonyesha kwamba hababaishwi na mtu.

Hapo ilikuwa Who will blink first. Bi mkubwa hakuwa tayari kufanya hivyo. Akikaa kimya ni kuwapa kichwa maadui zake.

Especially kama Mr. Ndugai hakuona umuhimu wa kuwasiliana nae ili kuomba msamaa, japo kwa shingo upande.

Bi mkubwa had to put her foot down.
 
Ndugai alikosea timing, kama kweli alikuwa anakusudia “Kata Funua” angesubiri Bunge, ampange Mbunge mmoja hata katika wale Wabunge feki, mmoja apenyeze hiyo hoja ya kuhoji Mikopo na tozo, kutokea hapo ndio afanye alilotaka kufanya.
 
sijakuelewa unapo sema hajaugharamia unamaana gani maana wakati wa uchaguzi samia alizunguka karibu mikoa yote tanzania kuomba kura au ulikuwa msukule hukimuona?
 
Waliopo Zanzibar wanalipa tozo pia ila iinakuwa Zanzibar wapate bi 161 alafu bara bil 91?
 
Wanawake wanapenda kutoa mapovu hadharani, haijalishi cheo....
 
Mama asingemjibu Ndugai kwa namna alivyomjibu ningemshangaa.

Sometimes watu wapuuzi na vigeugeu style za Ndugai inabidi uwahit hard, hit fast and hit them often.
Alichoongea Ndugai ubaya wake ni upi? Tena nilidhani mtu wa kumshukia Ndugai tulikuwa sisi wananchi kwa kuamua kuruhusu upishwaji wa miswada ya tozo haraka haraka bila kujali hali.
 
Kampeni ya 2025 imeanza leo, ajabu kubwa. Ukilima maboga usitegemee kuvuna njugu.
 
Mpaka watu waelewe kuwa Zanzibar inatunyonya watakuwa mamekaa sawa
 
Mkuu we Wacha tu, Zanzibar population chini ya millioni 3 lakini ndio hivyo tena. Na bado anafikiri 2025 sisi huku Bara tutamchagua ...... ...... ....... Watoto wa watumwa huwa hawakui.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…