Kabisaa. Na ktk hii vita ya Samia na Job. Job anafahamu mengiii. Na huenda mikopo inaenda Zanzibar kimya kimya. Ila kuna siku ktk hili Sakata tutamkumbuka Job.Mpaka watu waelewe kuwa Zanzibar inatunyonya watakuwa mamekaa sawa
Ha ha ha usikute hata hii Mikopo Job ana piga kelele Job anajua inaenda Zanzibar kupitia Deni la Jamhuri. Afu hawa CCM wanatuma wenyeviti kumtukana Job bila tafiti. Mama akawanie Urais Zanzibar siyo Bara.Mkuu we Wacha tu, Zanzibar population chini ya millioni 3 lakini ndio hivyo tena. Na bado anafikiri 2025 sisi huku Bara tutamchagua ...... ...... ....... Watoto wa watumwa huwa hawakui.
Wadau naomba kufahamu kama Tozo ni jambo la Muungano.
Kwani nimemskia Waziri wa Fedha Bw. Mwigulu Nchemba akidai kuwa kwa Mwezi wa Dec 2021. Zanzibar imepelekewa Bil. 161Tshs ili hali Bara Tshs Bil 91. Ina kuweje Pesa za Walipa kodi wa Bara ziende Zanzabar? Zanzibar ina watu wake wa kulipa Tozo. Inakuweje hii? Je ina maana kila mwezi Pesa za Bara zina pelekwa Zanzibar? Au ndio kujipendekeza bila kujali Sheria, taratibu na misingi ya Muungano pamoja na Sera za Fedha?
Binafsi sijui ni wapi aiseeeHuko ambako Watanzania wanasema mfukoni mambo ni ahueni ni Tanganyika au Zanzibar?
Hana option nyingine....Mama hawazi jambo lingine zaidi ya uRais