Kwanini Shia wanapigwa vita sana na Wasunni kama vile sio Waislamu?

Hadith zinaruhusu ufiraji Tena Hadith sahihi na vitabu vya wanazuoni

Ukishaanza kujifichia kwenye Quran pekee tutakutoa tu kwenye hiko kichaka maana uislamu haukamiliki bila Hadith
Wew tumeshakimbizana Sana Kwa hili jukwaa nakujua uwezo wako, mada uliyoleta humu Hata haihusiani nitarudi pale tutakapo rudi Kwenye ushia na Sunni, maana unataka tuanze upya Kati ya hadith na Quran kipi kiwe msingi wa hukumu bye Kwa Leo.
 
Hivi hawa members waislam humu kina THE BIG SHOW, Ritz, malaria2, Faiza Fox ni waislam wa aina gani kati ya shia na

Bakwata na wale wavaa suruali fupi fupi wapo wapi sasa mkuu,au wote ni sunni sema hawaelewani?
 
Huyo jamaa ni mpumbavu
Anapenda sensationalism na kwa kuwa anakutana na watu wajinga wavivu wa kusoma anawaokota kwa sifa za kijinga
Mara yeye imam, kasoma zaidi ya mufti na ujinga mwingi self-aggrandizement za aina hiyo
Anazungumzia mambo kwamba alishiriki mijadala ya kidini zaidi ya miaka 30 iliyopita wakati hapo hafiki miaka 40 na form 6 failure yake ya 2013
Hapo alipo yeye mwenyewe msabato masalia na mkatoliki haziivi anataka ionekane kama tofauti za kimtazamo kwa uislam ni kitu kikubwa sana as if huko kwao hawana mifarakano iliyozusha hayo RC, Lutheran, Anglican na kanisa lake la kahaba Ellen White msabato mwenzake
Sunni au Shia kuwa maskini kwani wakatoliki au masabato yote ni matajiri?
Waislam wote Sunni au Shia ikifika hijja wanakutana Makka lakini huwezi kukuta mlutheri au anglikana Vatican zaidi ya RC
 
Hizo Hadith ni zenu masuni ,na ukiendelea kubisha nitaleta zaidi

Hadith zenu masuni zinaruhusu kufirana ,na Zina machafu mengi
Nabisha na hata ukiendelea kuleta zaidi bado nitakataa tu
Mimi hadithi zangu ni zile zilizokuwepo kwenye vitabu vya maswahaba na wanazuoni wa kweli na sio hivyo vitabu unavyoviokota kutoka kwa Mashia

Lete hadith kutoka Bukhari,Muslim,Tirmidhi,Abu Majah,Abu Daud,Ibn Majah na vinginevyo vinavyokubalika hapo ndio nitaamini
 
Kwahiyo wewe ndo mwisilam?
 
Kwahiyo Muhammad utume hakupewa na MUNGU bali alipewa na jibri
 
Kwahiyo mkuu huyu Al-mukheef ni kafir tu kama alivyo Mbaga Jr
 
This is deep.
 
Kuna mambo mengi kwenye Uislamu hayawekwi wazi mezani.
 
Bora jamaa yangu umefika bana ubalance mambo maana waislam wa humu ndani hawana chochote kabisa wanachokijua juu ya uislam zaid ya kuitetea CCM tu
 
Wasunni wanaamini washia sio waislamu.

adriz
 
2. Kuamini Malaika wake
3. Kuamini Vitabu vyake
Mkuu hivyo vitabu vyake ni vipi hivyo? Unaweza kutupa PDF ya hivyo vitabu hapa na mimi nisome niweze kuamini?

Wapo wangapi? Unaweza kutaja majina yao? Tunatakiwa tuwaamini kwa kwenye suala gani?
 
Jaribu kuandika vitu kama msomi au walau uige wasomi wanavyoandika.

Kuhusu kuwaua hili ni kosa, lakini kama jambo hulijui ni bora kuuliza au kukaa kimya.

Mashia wanatoka katika Uislamu sababu ya Imani yao. Naona umeshindwa kuandika na mtoto wa kike Dr. Mariposa.
 
Mkuu hivyo vitabu vyake ni vipi hivyo? Unaweza kutupa PDF ya hivyo vitabu hapa na mimi nisome niweze kuamini?

Wapo wangapi? Unaweza kutaja majina yao? Tunatakiwa tuwaamini kwa kwenye suala gani?
Katika vitabu vya Allah vyote ambavyo ni Taurati, Zaburi, Injili na Qur'an, ni Qur'an pekee ndio imebaki vingine vyote havipo.

Qur'an ipo ukitaka unaweza kupata soft copy au ukanunue kwenye maduka ya vitabu vya kiislamu hard copy.
 
Katika vitabu vya Allah vyote ambavyo ni Taurati, Zaburi, Injili na Qur'an, ni Qur'an pekee ndio imebaki vingine vyote havipo.

Qur'an ipo ukitaka unaweza kupata soft copy au ukanunue kwenye maduka ya vitabu vya kiislamu hard copy.
Sasa kuna sababu gani ya kuwa na sharti la kuamini vitabu ambavyo havipo?

Na zabur ya kuami ni ipi maana zaburi zimeandikwa na waandishi wengi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…