Kwanini Shia wanapigwa vita sana na Wasunni kama vile sio Waislamu?

Nipe jina wanalotumia Facebook mkuu nikajionee.
 



Je ulishakula kiapo cha utii kwa Kipenzi chetu cha dhati Imam Jalala?
 


Je ulishakula kiapo cha utii kwa Kipenzi chetu cha dhati Imam Jalala?
 
Swali sijakuuliza wewe, nimemuuliza yeye ili nijue niweze kumuamoni anachosema au nisimuamini, kwa maana kama sio muislam basi hawezi kunipa maelezo yaliyojitosheleza kuhusu uislam
 
wewe unaongea utumbo utumbo tu hapa
Huu unaoutengeneza wa shia na sunni ni upupu uliojazwa kichwani kwako na walokole wenzako.
Hujui dunia wewe, na hujawahi hata kutoka nje ya bongonyoso

Iweje kuna waislamu wanakwenda kusoma dini Iran, unadhani wanakwenda kusomea ushia au usunni,
Mimi nimezunguka dunia, nimeswali misikiti huko Ulaya na mpaka US na wa Iran halafu wewe unataka kuleta ulokole JF kwa kuwa unajua kuna wenzako watakushangilia pumba zako.
Kwanini Washia wanaenda kuhiji Makka?

Huu upupu wa Ushia na Usunni umetengenezwa, wakati Iraq inapigana Iran, wakajifanya kumsaidia Saddam, wakati wao wanapigana na Saddam, wakajifanya kuwasaidia waliowaita Washia na baada ya hapo hao hao wakawshtkuia na kuwaletea noma kama bingwa Muqtada al-Sadr alivyowapelekea moto UK, mpaka wakafunga virago ndani Basra.

ushafamu
Kwenye uislamu hakuna Ushia wala Ussuni, unaogelea siasa badala dini ya kislamu
Iran ilikuwa inawasaidia HAMAS kwanini?
Kwanini Houth alijiingiza kwenye vita na Israel?
Kwanini Hezbullah alijiingiza na vita na Israel ?
Unajua kuna sehemu umesoma upupu kuwa HAMAS ni washia ?

Waarabu wanaogopa kusaidia Palestine ni kama nyinyi wagalatia, mko nao sawa hampishani
 
Uzuri ni kwamba hawa waarabu, waajemi, wazungu+wazayuni, wahindi, na wachina wanajua wanapambania nini ktk migogoro yao, na wanajua mipango yao na target zao, pia wanajua suluhisho la matatizo yao, tofauti na sisi waafrika wapumbavu ambao tunaendeshwa kwa mihemko kufuata migogoro ya hawa watu na kuifanya kama yetu.

Kwa miaka na miaka hawa watu hasa waarabu, wazayuni, waajemi na wazungu wamekuwa wakitumia mgongo wa dini kama catalyst ya migogoro yao, yaan migogoro yao wameiweka ktk roadmap ya matukio ya kihistoria yaliyopita na ubashiri wa mipango yao ijayo kuiita UNABII kupitia vitabu vya kipropaganda (biblia, Quran, Tanakh), then sisi wapumbavu tusiopenda mambo yetu na kudandia mambo ya watu tunawaona wanaakili sana huku tukiabudu historia zao na mipango yao tunayoaminishana misikitin na makanisani tukiita UNABII.

hawa wazayuni na wazungu wanavyotwangana dhidi ya waajemi na baadhi ya waarabu hapo middle East ni plan zao na migogoro yao ya zamani na mipango yao ni kila mmoja kutanua utawala&ushawishi wake hivyo anatumia kila aina ya njia/siraha kutimiza agenda zake.

Huwa nafurahi kuona kuna waTanzania wanaoijua vzr historia na kutambua propaganda tunayolishwa kuhusu hii migogoro tuliyoaminishwa ni ya kidini+kiimani kumbe si kweli ni muendelezo wa tamaa za madalaka na ushenzi wa kumtawala mwingine hakuna habari za Mungu wala imani hapo.

Back to topic, hao waajemi(iran) wanajua hasa wanapigana na watu wa aina gani ndiomaana wanakaza kutumia sana akili ili kujilinda na kutimiza plan zao huku wakizuia ama kuchelewesha plan za adui wao, wanajua kabisa adui wanayepambana nae ndoto yake ni kupanua utawala mpka maeneo yao na kuweka sheria zake, huku na wao wakitumia ubabe wa historia yao kuendeleza nguvu zao kuzuia kuanguka.

Waafrika hasa ninyi wafuasi wa dini, jifunzeni kusoma mambo nje ya imani na dini zenu, kuna mengi mnayakosa kwa kukataa/kupinga kisa hayafurahishi nafsi zenu sababu yanakosoa na kugusa imani zenu.

Historia hujirudia na ukweli hubaki kuwa ukweli haijalishi unaumia au kuukataa unabaki kuwa ukweli.

Waafrika tunatumika tu kusapoti propaganda na migogoro ya watu weupe huku tukijichelewesha wenyewe kufanya maendeleo kisa huu ushabiki wa hizi pande za watu weupe.

Wafuasi wa dini tumieni akili mahala panapohitaji facts& knowledge na sio hisia na mihemko yenu ya mahaba mliyolishwa makanisani/misikitin
 
Katika vitabu vya Allah vyote ambavyo ni Taurati, Zaburi, Injili na Qur'an, ni Qur'an pekee ndio imebaki vingine vyote havipo.

Qur'an ipo ukitaka unaweza kupata soft copy au ukanunue kwenye maduka ya vitabu vya kiislamu hard copy.
Mashia wanatumia Quran tofauti na ya Sunni hadi kuwafanya kuwa sio Waislamu?
 
KUNA MUWAHABI MMOJA KAVAA MABOMU MWILINI KISHA KUJIRIPUA KATIKATI YA WAISLAMU WA SHIA HUKO PAKISTAN.

Zaidi ya waislamu 31 wameaga dunia, hii ndiyo hatari ya mawahabi duniani hawamjui adui Wala rafiki.
 
Hadith zinaruhusu ufiraji Tena Hadith sahihi na vitabu vya wanazuoni

Ukishaanza kujifichia kwenye Quran pekee tutakutoa tu kwenye hiko kichaka maana uislamu haukamiliki bila Hadith

QURAN NDIO PRIMARY/MAIN BOOK YA WAISLAM,
HAIWEZEKANI CHOCHOTE KIWE HADITHI NK KIBADILISHE MAELEKEZO YA MAIN BOOK (QURAN) - kama umepita shule walau ya kidato cha nne unaweza kuelewa concept rahisi kama hii inafundishwa kwenye katiba nk

Mf: Quran haiwezi kusema msipunje watu kwenye mizani, halafu atokee mjinga mmoja aseme amesoma kwenye hadithi kuwa hata mkipunja haina shida ilimradi mnapata faida.
Hivyo hivyo; Qurani haiwezi kukataza kwa ukali kabisa Zinaa na ufiraji halafu atokee Mjinga mmoja, aseme hadithi imeruhusu?
HATA BIBLIA ILISHA ONYA WATU KAMA WEWE KUWA; MTAKUJA KUANGAMIA KWA KUKOSA MAARIFA!!!
 
Mambo yote yaliyoamriwa na Quran Karne ya saba yanaweza kutekelezwa leo hii Karne ya 21 kama yalivyo katika jamii zote?? Jinsi Quran inavyotekelezwa Saudi Arabia ndio inatekelezwa Tanzania, China, Marekani na Ulaya??
 
Huyo mjukuu wa mtume ndiyo alishushiwa Quran?..
 
Mambo yote yaliyoamriwa na Quran Karne ya saba yanaweza kutekelezwa leo hii Karne ya 21 kama yalivyo katika jamii zote?? Jinsi Quran inavyotekelezwa Saudi Arabia ndio inatekelezwa Tanzania, China, Marekani na Ulaya??
Upo humu muda ila huwa unauliza(hoja) za kipunguani sana
Kuna kipi kwenye Quran hakitekelezeki Karne hii au nchi yoyote leo?.. Quran inakataza zinaa,pombe,kupunja mizani,kamari, ushirikina,kuua..haya hayatekelezeki Karne ya 21,china, marekani etc?
 
KUNA MUWAHABI MMOJA KAVAA MABOMU MWILINI KISHA KUJIRIPUA KATIKATI YA WAISLAMU WA SHIA HUKO PAKISTAN.

Zaidi ya waislamu 31 wameaga dunia, hii ndiyo hatari ya mawahabi duniani hawamjui adui Wala rafiki.View attachment 3540918
Hao wanaofanya hivyo ni machoko wanaotumwa na mashoga ya US kuwavuruga serikal ya Pakistani na pia mpaka Afghanistani wapo hao ******* wanawinda mashia, kwanini Talebani hawana shida na shia huko kwao wakati wazungu ndio husema talebani ni siasa kali?
 
Ooops, your temperature acceleration is unprecedented. These are just normal religious arguments, no need for insults.
Huwa sivumilii upotoshaji wa wazi wenye lengo la kuharibu badala ya kujenga
 
Waislamu waliouana sababu ya Ushia na Usuni tangu mwaka 2011 ni wengi kuliko waislamu waliuawa na Israel tangu 1919.

Vita ya Syria pekee kati laki 6 hadi million kadhaa walienda na maji
 
Hii ndio Sababu Iran anaogopwa na Wasunni kuliko Israel.

Wanataka watu wawe Washia
 
Waislamu waliouana sababu ya Ushia na Usuni tangu mwaka 2011 ni wengi kuliko waislamu waliuawa na Israel tangu 1919.

Vita ya Syria pekee kati laki 6 hadi million kadhaa walienda na maji
Hii ilianzia Iraq, baada ya nchi kuanza kutulia, US akaanza kupelekewa moto na washia wa Iraq, ndio akatokea Muqtadar Al Sadr na kikundi chake, ambacho hata serikali ya Iraq ilikuwa ina husika nacho.
US akaona hapa moto wake utakuwa mkubwa, akawatengeneza ISIS, huko Kaskazini ya Iraq, kwa lengo la kuwaweka bize serikali ya Iraq kupigana na ISIS na pia kuanza kuivuruga Syria ili kumtoa Assad.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…