Kwanini Shia wanapigwa vita sana na Wasunni kama vile sio Waislamu?

Lahau Allah
 
Tupe link ya Hilo group la fb tujifunze mambo
 
Mi hapa namsoma Mwamba tu na kumpa like zake za kutosha sana;
PhD in Islamic History Alisha waambia kuwa hizo ni Satanic Verses kama mnabisha njoeni tuongee, wamekacha Hadi hii Leo:
 
Huwa sivumilii upotoshaji wa wazi wenye lengo la kuharibu badala ya kujenga
Upinge huo upotoshaji kwa hoja, ukitukana it'll basically translate kwamba unaye-argue naye kakubana upande wa hoja ndipo ukaamua uporomoshe matusi.
 
Upinge huo upotoshaji kwa hoja, ukitukana it'll basically translate kwamba unaye-argue naye kakubana upande wa hoja ndipo ukaamua uporomoshe matusi.
Tofautisha kati ya hoja na deliberately misinformation and misguided campaign,
Huyo makende yuko kazini
 
Tofautisha kati ya hoja na deliberately misinformation and misguided campaign,
Huyo makende yuko kazini
Deliberately misinformation? If that's what it is then it's so easy to counterargue, just give us the right information so that we compare between your arguments against his and include your references as well for the sake of those who are interested in learning.
 
Mbona kwenye mawaidha inasemwa Sana na kutetewa kuwa ni kweli?
Muhamad alipenda sana ngono, ukisoma story zake alipenda sana ngono

Ni wazi akili yake ilimuaminisha ngono ni jambo la kuwadanganyia watu
 
Unajuwa tofauti ya shia na suuni ni nn?
Uisongee vitu usivyovijuwa.

Shia wao wanamtukuza zaidi swahaba.wa Mtume Muhammad (SAW) ambaye ni sayyedna Alli hata kwenye swala wakitoa shahada wanamtaja..
-Shia wanawatukuza wajukuu wa Mtume Muhammad (SAW)Hasaan na Hussein ambao waliuliwa kwa kuchinjwa huko Iraq.
Pia Ikipigwa azana wanamtaja Alli kama ndy mtukufu.,kuliko kumtaja Mtume Muhammad (SAW)
-wakiswali wana sujudu kwenye kijiwe .
- hata swala zao tofauti.
-Mkiwa kwenye ndoa ruksa mume kumwingilia mkewe kinyume na maumbile ikiwa mke yupo kwnye hedhi..



Huo ndy usomi?
 
Wewe sio ulamaa
 
Wewe sio ulamaa
Mimi nimesoma Alhamdulillah ninaielewa dini yangu kiasi Kwamba hakuna mtu wakuniyumbisha Imani yangu japo sio shekh Wala ulamaa ni self study.. Mimi nasoma kwelikweli na nafuatilia mambo yanayonihusu Kwa ukaribu mno
 
Kwa hiyo watu wa Zanzibar, Mombasa, Tanga na karibu pwani yote wana element za Ushia maana wanapenda sana kufirana na ndio eneo lenye mashoga wengi..
 
Kwa hiyo watu wa Zanzibar, Mombasa, Tanga na karibu pwani yote wana element za Ushia maana wanapenda sana kufirana na ndio eneo lenye mashoga wengi..
Kufata sheria ni kitu kingine na kuamini ni kitu kingine.
Ila shia wanatamka hivyo kwamba mke akiwa kwenye siku zake anageuzwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…