Kwanini siku hizi mahusiano ya kimapenzi kati ya baba mzazi na binti yameshamiri sana?

Kwanini siku hizi mahusiano ya kimapenzi kati ya baba mzazi na binti yameshamiri sana?

Udhaifu wa wazungu uko hapo kutembea kufanya conjugal relation na ndg zao labda kama hujawahi kukaa nao.
Pia katika upande wa Africa baba kutembea na mwanae dada mtu shangazi mtu ni jambo la mwisho katika mambo ya ajabu hilo kwa kweli tunajitahidi sana, likitokea ni nadra linahusiana na ushawi ulevi au uendawazimu.
Naona huku hvo vitu Africa viko ila kwa vile huwa ni Siri kubwa wazungu wao wako wazi hawataki unafiki tu. Mfano ushoga Tanzania wako wengi ila kwa unafiki husema hawapo na kulaumu tu wao mashoga na kusahau wanaowafanya loh
 
Based on my intellectual capacity and my vast knowledge and skills about this, Tactically and tentatively right from the start of times especially in the light of eclesiastical evolution and come to a concrete ,Definite and profound conclution actually I have nothing to say.
Thank you.
😅
Yaani too much English...
Kama username yako isivyotamkika.
 
Naona huku hvo vitu Africa viko ila kwa vile huwa ni Siri kubwa wazungu wao wako wazi hawataki unafiki tu. Mfano ushoga Tanzania wako wengi ila kwa unafiki husema hawapo na kulaumu tu wao mashoga na kusahau wanaowafanya loh
Sawa tabia hizo zipo kwa kificho kikubwa ila sio kwa kiasi kama wazungu pia wa Africa hususani sisi watanzania tuna umbeya hatuwezi kificha siri kwa mda murefu lazima litajulikana.......kwa hayo mambo yapo but not to that extent kama mleta uuzi anavo sema kushamiri
 
Naona huku hvo vitu Africa viko ila kwa vile huwa ni Siri kubwa wazungu wao wako wazi hawataki unafiki tu. Mfano ushoga Tanzania wako wengi ila kwa unafiki husema hawapo na kulaumu tu wao mashoga na kusahau wanaowafanya loh
Ogopa watu wanao fanya madhambi kwa udhahiri,hao wanakuwa wamefikia ukomo wa utendaji wa madhambi huwezi kumlinganisha na mtu anayefanya kwa kujificha. Hawa mara nyingi kuacha ni virahisi.

Kwa maana hiyo inabaki ya kuwa Wazungu wana tabia chafu (Wengi wao isipokuwa wachache walio shika dini) na za hovyo kuwazidi wengi katika dunia hii.
 
Naona huku hvo vitu Africa viko ila kwa vile huwa ni Siri kubwa wazungu wao wako wazi hawataki unafiki tu. Mfano ushoga Tanzania wako wengi ila kwa unafiki husema hawapo na kulaumu tu wao mashoga na kusahau wanaowafanya loh
Mwaka 2017 Baba moja Australia wa miaka 54 alichimba hadake ndani ya nyumba yake kategeneza chumba kizuri ndani kachukua bint yake wa kwanza akawa mke wake anakuja kukamatwa tayari amemzalisha watoto wa nne, na hao wengine wadogoalikua anatembea nao kutumia nyumba esio handaki kwa jumla alikua anatembea na bint zake watatu.

Je jambo kama hilo unaweza uka pata popote Africa Tz in particular wazungu ni wachafu sanaa huwezi kuwalinganisha na sisi katika hayo mambo
 
Ukifikiria kama binti anaweza kusex na babaake basi fikiria kama wewe unaweza kusex na mamaako then jiulize inawezekana?. Msilete story za kufikirika mradi kufurahisha njozi zenu kwa wengine. Jirikirie wewe unaweza kusex na mamaako kwanza?
Acheni ubishi usio na maana! Ni mara ngapi imewahi kuripotiwa suala la watoto kupewa ujuazito na baba zao wa kuwazaa?! Geni, na ambalo sijawahi kulisikia ni la akina mama kulalwa na watoto wao wa kuwazaa lakini akina baba kuwalala watoto wao wa kuwazaa wala sio jambo gani, kwahiyo achenio kujitia upofu ili muonekane eti maadili sana. Ni upuuzi kumtaka mchangia mada eti aseme ikiwa anaweza ku-sex na mamake kama lengo la kuthibitisha watu wanalala na binti zao.

MARA: Baba ampa mimba mtoto wake, abaka wengine wawili

Baba ampa mimba mama na binti yake, Watokomea kusikojulikana, Mama aeleza ilivyokuwa - Video - Bongo5.com

NJOMBE: Baba mbaroni kwa kumbaka binti yake wa kumzaa wa miaka 11 - Bongo5.com

Na hapo sijaweka habari kutoka blogs za udaku kama Global Publishes wala blogs zisizo na majina pamoja na YouTube channels zisizo na majina. Aidha, hizo ni zile ambazo nimeripotiwa! Kuna issues ngapi hazipo reported!
 
Kuna mtu amekuambia kuandika Kiingeleza ndiyo kujibu swali.

Dar kuna watu zaidi ya milioni sita, asilimia 30 ya milioni sita ni 1.8, Unataka kusema wababa milioni moja na laki nane Dar wanafanya mapenzi na mabinti zao?

Au unaongea ongea tu.
Hesabu zako za Kichina, kama idadi ya wakazi wa Dar ni 6million hivyo hiyo 1.8million ni asilimia 30 ya wakazi wote na si 30% ya wababa wenye mabinti.
Break it down zaidi ya hapo ulipoishia.Hivyo 1.8 ni 30% ya wakazi wote, kadiria hapo kwenye 1.8 watoto ni asilimia ngapi, akina mama ni asilimia ngapi na akina baba ni asilimia ngapi ndipo katika hizo asilimia za akina baba tutafute wenye watoto wa kike ambao wanaishi nao kwa maana ya kuwalea under the same roof kadirio litakuwa vipi.
 
Acheni ubishi usio na maana! Ni mara ngapi imewahi kuripotiwa suala la watoto kupewa ujuazito na baba zao wa kuwazaa?! Geni, na ambalo sijawahi kulisikia ni la akina mama kulalwa na watoto wao wa kuwazaa lakini akina baba kuwalala watoto wao wa kuwazaa wala sio jambo gani, kwahiyo achenio kujitia upofu ili muonekane eti maadili sana. Ni upuuzi kumtaka mchangia mada eti aseme ikiwa anaweza ku-sex na mamake kama lengo la kuthibitisha watu wanalala na binti zao.

MARA: Baba ampa mimba mtoto wake, abaka wengine wawili

Baba ampa mimba mama na binti yake, Watokomea kusikojulikana, Mama aeleza ilivyokuwa - Video - Bongo5.com

NJOMBE: Baba mbaroni kwa kumbaka binti yake wa kumzaa wa miaka 11 - Bongo5.com

Na hapo sijaweka habari kutoka blogs za udaku kama Global Publishes wala blogs zisizo na majina pamoja na YouTube channels zisizo na majina. Aidha, hizo ni zile ambazo nimeripotiwa! Kuna issues ngapi hazipo reported!
Wewe unaleta kesi za ubakaji wakati mtoa mada katoa hoja za watoto wa kike kulala na babazao kwa hiari yao na akili zao sasa jiulize wewe unaweza kulala na mamaako kwa hiari yako?
 
Wewe unaleta kesi za ubakaji wakati mtoa mada katoa hoja za watoto wa kike kulala na babazao kwa hiari yao na akili zao sasa jiulize wewe unaweza kulala na mamaako kwa hiari yako?
Tumia akili wewe! Hivi kwa akili yako ni nani anatakiwa kuwa na busara kati ya mtoto na baba?! Sasa kwa akili yako ikiwa baba anabaka binti yake wa miaka 14 ndo atashindwa kulala na mtoto wake wa 21? Au unashindwa kujiongeza kwamba hayo yamefahamika kwa sababu wahusika ni watoto lakini ingekuwa ni mabinti wazima, kwanza hata hizo mimba zisingetokea, na hata kama zingetokea, zingechoropolewa?
 
Kwa matajiri tu 70% mkuu hii tabia ipo na ni kwa vitoto vinavyokua sasa hivi kwa baba yao vina uzungu mwingi, dharau kwa wanaume, hawataki kuolewa wanataka wapate Mr. Right.

Mtoto ni wako umekaa sitting room kavaa bikini inaonekana au yuko nusu uchi afu anakunywa wine eti cheers dady huku anakuhug hey dady, ukikagua toto linafanana na mama yake copyright wewe huna hata chembe naye lakini ni wako, shetani anapiga honi [emoji6][emoji6]

Sasa kuna mibaba inawaendekeza watoto uzungu binti yuko 30 hana mume.

Hapo kulana kwa mtoto na baba ipo sana tena sana kwa taarifa yako sasa wababa ndio wanawaendekeza hawa watoto ubaby dady.
Hii ngumu sana. Mimi naishi na wanangu mpaka kucheza nao,yupo mmoja ni mkubwa,yuko six now, lakini hata mshtuko wa kuwaza hilo haupo. Labda ungeniambia ma-HG,hao wanaliwa sana
 
Back
Top Bottom