Tua Ngoma
JF-Expert Member
- Apr 14, 2015
- 3,185
- 8,294
Akili yako mbovu sana, unajua asilimia 30 ya wanaume wote Tanzania ni milioni ngapi? Au unaropokwa tu.Kiingeleza ni kitu gani? Swali rahisi kwako wewe, kama kuandika kiswahili unashindwa, Je? kuongea kiswahili.
Unapo toa kasoro kwenye uandishi wa mwenzako hakikisha na wewe upo sahihi.
Wakati natoa maelezo kuwa Tanzania nzima ina 39.99% wewe unashupalia kwa dar es salaam pekee yake.
Mkuu kuwa makini.
Kwamba unakisia kuwa zaidi ya wanaume milioni kumi wanalala na watoto wao wa kike?
Mjinga kama wewe huwezi kosoa Lugha yangu sababu iko wazi wewe ni kichwa box.