Kwa matajiri tu 70% mkuu hii tabia ipo na ni kwa vitoto vinavyokua sasa hivi kwa baba yao vina uzungu mwingi, dharau kwa wanaume, hawataki kuolewa wanataka wapate Mr. Right.
Mtoto ni wako umekaa sitting room kavaa bikini inaonekana au yuko nusu uchi afu anakunywa wine eti cheers dady huku anakuhug hey dady, ukikagua toto linafanana na mama yake copyright wewe huna hata chembe naye lakini ni wako, shetani anapiga honi [emoji6][emoji6]
Sasa kuna mibaba inawaendekeza watoto uzungu binti yuko 30 hana mume.
Hapo kulana kwa mtoto na baba ipo sana tena sana kwa taarifa yako sasa wababa ndio wanawaendekeza hawa watoto ubaby dady.