Kwanini Taasisi za kidini zinahodhi maeneo makubwa ya Ardhi Tanzania? Wapewe wananchi

Kwanini Taasisi za kidini zinahodhi maeneo makubwa ya Ardhi Tanzania? Wapewe wananchi

Ngoja tukalikomboe eneo letu lililo uzwa kwa bei ya kutupa pale Chang'ombe Bakwata. Kalibu na Uwanja wa Taifa.
Kila nikipita naona kuna makontena tu kama Bandari kavu vile.

Bora tungewakodisha D.P. World.
 
Huu uzi ndiyo utachuja pumba, chuya na mchele.
 
Kuna nchi jirani inahodhi pale bagamoyo hekari 6000 hizo zimebainika tuu ila inahodhi ardhi nyingi zaidi. Nchi hii jirani laia wake wanahidhi sana ardhi huku kwetu wakati kwao hatauwezi kumiliki. Nashauri tunyang'anye
Kama ni mapori wapewe wamatumbi wafuge
Kama ni mashamba wapewe wamatumbi walime
Kama ni apartment wapewe wamatumbi waishi na wake zao
Hii itaendana vizuri na mpango wa FaizaFoxy wa BBT
Naomba kuwasilisha
 
Kuna nchi jirani inahodhi pale bagamoyo hekari 6000 hizo zimebainika tuu ila inahodhi ardhi nyingi zaidi. Nchi hii jirani laia wake wanahidhi sana ardhi huku kwetu wakati kwao hatauwezi kumiliki. Nashauri tunyang'anye
Kama ni mapori wapewe wamatumbi wafuge
Kama ni mashamba wapewe wamatumbi walime
Kama ni apartment wapewe wamatumbi waishi na wake zao
Hii itaendana vizuri na mpango wa FaizaFoxy wa BBT
Naomba kuwasilisha
Kama hawaitumii wapewe raia. Kama ambavyo tunashauri hapa kuhusu za kidini.
 
Siyo siri, Tanzania taasisi za kidini takriban zote, kwenye mikoa na wilaya zote zinahodhi maeneo makubwa ya ardhi ambayo hayatumiki kabisa au utakuta kwenye maeneo yao makubwa wanayohodhi kinejengwa kijumba kimoja au viwili vya kuzuga tu.

Wakati huohuo tunasikia mara kwa mara migogoro ya majeshi yetu na raia kuhusu ardhi.

Kwanini serikali isizirudishe hizo ardhi na kuwapa raia?

. Maeneo ya mashambani wapewe wenye kuhitaji kulima japo eka mbili mbili. Wawekewe miundombinu ya kilimo cha umwagiliaji.

Maeneo ya maporini wapewe wafugaji waanze kufundishwa kupanda majani bora ya mifugo kama alfalfa na mengineyo, nao wawekewe miundombinu ya kilimo cha umwaguliaji. (irrigation). Wakafuge huko badala ya kuwa wahamahamaji, kurandaranda Tanzania nzima wskitafuta majani ya mifugo yao.

Maeneo ys kuishi watu wapewe raia wajenge.

Hii utaendana vizuri na mpango wa mama Samia wa BBT.

Nawakilisha.
Naunga mkono hoja hasa RC,

sijajua nani Huwa anawapa haya maeneo makubwa harafu hayafanyiwi uendelezaji..
 
Uzi wako umekosa kabisa uhalisia. Nilitegemea utoe mifano hai. Binafsi sioni kama kuna tatizo kwa hizo taasisi za kidini kumiliki kihalali maeneo makubwa ya ardhi na kuyatumia kwa shughuli zao za kijamii.

Au una ajenda yako ya siri? Kama vipi ungenyoosha tu maelezo.
 
Kwani raia wanapovamia maeneo ya jeshi au ardhi za wawekezaji au watu wengine, ardhi sehemu zingine inakuwa imekwisha?
Ni ujinga wao wanataka vya bure vilivyoandaliwa. Nchi hii ardhi kwa asilimia 60 haijatumika so ni wewe ujitoe sehemu moja uende nyingine sio lazima tukae sehemu moja. Mi nimenunua ardhi kubwa bure kabisa. Ni wavivu tu ndio wanapenda vya bure kama waliouza bandari wakitegemea waarabu wataifanya Dubai in Tanzania
 
Kama hawaitumii wapewe raia. Kama ambavyo tunashauri hapa kuhusu za kidini.
Nashukuru
Kauli yako ni nani wa kupinga?
Ila pale mbeya kwa mfano eneo kubwa lile wamejenga shule inayoupiga mwingi nchi nzima na chuo cha sauti na wakaongezea nursery bora sana.. maeneo yao wanayatumia. Inashangaza unavyosema tuyachukue sifahamu nyie government mkichukua kama mtaweza kuendeleza hizo shule au mtazikabidhi kwa wavaa bakozi ili waendeleze kwa ufanisi.
Any way hii nchi jirani ama wanamiliki kihalali au vinginevyo waondoke tuu maana sheria yao kule ni ya kibaguzi
 
Sheria za Tanzania za kuhodhi ardhi ni iwe imeendelezwa ndani ya miaka mitatu, kama sikosei.
Sheria ni maandishi tu hayo.
1. Unajua Magufuli amehodhi robo ya ardhi ya Jimbo la Bashungwa?

2. Unafahamu Sumaye alihodhi nusu ya ardhi ya wilaya ya Mvomero? Alinyang'anywa baada ya kuhamia chadema.
3. Unafahamu mama Anne Makindq ana mahekari ya ardhi kule Bagamoyo?
4. Unaelewa kwamba maeneo mengi yanayotwaliwa na serikali kwa fidia kubwa ili kuweka EPZ mkoani Pwani yanamilikiwa na nani?

5. Unajua kuwa rais Samia ana eneo kubwa Sana Bagamoyo?

6. Unaelewa kuwa Bashe ana maekari ya ardhi ambayo ameyafanya kuwa ranch ya mifugo yake ?
 
Back
Top Bottom