The redemeer
JF-Expert Member
- Jan 28, 2025
- 4,778
- 8,232
Mabepari ndio uleta maendeleo kwenye nchi kupitia ajira,upatikaji wa uhakika wa masoko,ulipaji kodi nkKutokana na historia ugumu unaongezeka.
Tukikuwa na matatizo ila matatizo mengine tumerithi, kama mambo ya ubepari, ujamaa na dini.
Ncji nyingi za kibepari hao mabepari hawakuondoka.
Kwahiyo, nchi yako inaweza kuonekana ni tajiri kumbe ni wao ndio matajiri nchini kwako na raia wako hawanufaiki kitu.
Fuatilia kwanza ni vumbuzi ngapi za hapa hapa kwenu zimeuwawa na mawazo mgando badala ya kuziboresha halafu njoo mtetee huyo serikali,Safi sana.
Kwahiyo, serikali wewe inakuzuia nini, kubuni kama huo uwezo unao???
Mambo ya ubunifu ni tofauti na utajiri.
Wabunifu wengimwa Ulaya na Marekani walikufa masikni.
Kwahiyo, tenganisha hoja yako kati ya umasikini na ubunifu.
Kama hilo V8 kanunua kwa pesa yake hakuna shids.
Ila kama ni serikali ubunifu wa teknolojia hauwahusu
Kelele za biashara ya utimwa zilishapita.
Mida ulishapita, maisha lazima yaendelee
Ni suala la uchaguzi.Mabepari ndio uleta maendeleo kwenye nchi kupitia ajira,upatikaji wa uhakika wa masoko,ulipaji kodi nk
Kaka sikusoma yooote ilaaa dah nakosa cha kuchangia watu wapitie comment yako tufunge mjadala big upMnaongelea mataifa ya wazungu na watu weupe wa mbali huko, mbona humu humu tu nchini bado watu hawana akili timamu za kuchochea hayo maendeleo.
Jitu linaloshinda kutwa kushabikia mipira na ubishani wa simba+yanga unategemea jitu la hivi lifanikiwe na kuchochea maendeleo ya nchi?.
50% ya muda wa waafrika wengi kwa week nzima unatumika au kuishia makanisani/misikitini huko badala ya kufanya kazi mnategemea taifa la watu hawa liendelee?.
Media zote asubuhi mpaka kesho asubuhi hakuna cha maana wanachoweka zaidi ya vipindi vya kutukuza ngono, uzinzi, kamari, miziki, habari za umbea, uchochezi, chuki, kiki za kishamba, udaku na upuuzi wa kila namna bila kusahau media zinazoshinda kutoa vipindi visivyoeleweka zaidi ya uchawa na kusifia upuuzi, yaani kila mahala pameoza
Taifa ambalo vijana na wasomi wanapambana ili wapate ajira serikalini wapate wepesi wa kuiba na kujitajirisha na si kulitumikia taifa, mnadhani kuna maendeleo hapo?
Taifa ambalo watu wako bize kushabikia siasa za kipuuzi za Ccm+chadema, watu wanafarakana kisa vyama vya siasa na wengine wanatoana roho kisa siasa, kwa namna hii watu hawa wakipata uongozi kuna maendeleo?.
Taifa ambalo si wasomi wa elimu na ukufunzi pekee ambao unaweza sema wameelimika na kuyajua mengi, hata hawa pia wameoza akili bado zinawaza mambo yaleyale ya mkoloni, yaani inashangaza tunapodai mabadiriko ya mifumo ya elimu huku wadau wa mabadiriko hayo tunawahusisha walimu ambao kwa upuuzi wao wamechangia taifa la wajinga kufika hapa na wala hawashituki wao wako bize kudai ongezeko la maslahi yao huku wakiendelea kulididimiza taifa kwa kuzalisha vilaza takataka wafananao na wao.
Taifa hili na Afrika kiujumla imeoza kila mahala, kuanzia ngazi ya familia mpaka ikulu ya raisi pameoza, hakuna unafuu, inawezekana vipi mtu unayeipenda nchi yako unakwenda kusaini mikataba ya hovyo itakayoinyonya nchi yako na ya wazawa wako na kuwatajirisha watu wa mbali huko? Je huku sio kuoza akili?.
Mabadiriko ya Afrika hayatakiwi kubase katika mifumo ya kiuchumi na kisiasa pekee bali mpaka kijamii kuwe na control ya mafundisho ya maadili mema, bila kusahau control ya dini na imani chafu(ukristo+uislamu) zinazolenga kuwaharibu akili watoto.
Afrika tulichofanikiwa kutoka ktk ukoloni na utumwa ni uhuru wa kimwili tu lakini akili bado tuko kubaya zaidi ya walikokua babu zetu.
Maendeleo ya Afrika yataanza na mabadiriko ya fikra za waafrika ndipo mengine yatafuata hakuna mchawi hapo ni sisi wenyewe kwa ushenzi wetu.
Tatizo ni fikra zetu zilivyo. Tunaamini sisi hatuwezi kufanikiwa kwa chochote pia Afrika hatuna umoja kama walionao UAE na EUROPE. Nilitegemea bunge la AU ndo likemee ufisadi hapa Afrika lakini chakushangaza bunge la EU ndo linafanya hii kazi imagine hata kesi ya Lisu imajadiliwa na EU.Wakati waislam wengi hasa waarabu sio wachapakazi kama sisi watu weusi na siamini kama wanatuzidi akili. Tatizo ni nini?
Toa mifano hata miwiliFuatilia kwanza ni vumbuzi ngapi za hapa hapa kwenu zimeuwawa na mawazo mgando badala ya kuziboresha halafu njoo mtetee huyo serikali,
Sawa.Wabunifu ( individual) kufa masikini sio hoja ila ubunifu wao umeleta mabadiliko chanya kwenye mataifa yao na kuendeleza mataifa yao....
Sasa hili linahusiana nini na matumizi ya raslimali, hasa uchimabji, mauzo, mitaji mikubwa, teknolojia na masoko??sio lazima wote tuwe matajiri(ukwasi) ila ni lazima wote tupate mahitaji muhimu(unayajua)
V8 ndio italeta teknolojia ya matumizi ya raslimali?V8 siongelei ya kwako..... naongelea iliyoagizwa kwa kodi yako na yangu kisa Barabara za huku Africa ni mbovu....
kwahiyo ukijenga barabara, ndio matumizi bora ya raslimali?lakini kumbe tungeanza na Barabara tusingehangaika na v8
Kwahiyo Namtumbo wakileta bidhaa, nchi itakuwa kama Ulaya?maana wa namtumbo angeleta bidhaa zake nanenane,au ilala bila shida na huyu wa v8 angeondoka hata na premio na akafika huko lukozi, mkuzi, bushangaro, au kibimba bila hofu ya Barabara!
Hoja ni ile ile, hayo madini yanayoleta vita huko Congo, yanauzwa wapi?Utumwa ulishapita but tumejifuza lolote....leo anayemuua mkongo ni mkongo, msudani kwa msudani, msomali vilevile mrundi na safu inaendelea....ukiwauliza lawama wanatupiwa mabeberu si ufala huo!
Unaona ndexi kama huyu kwa vile yy kasoma kwa msaada wa kikoloni anaona yule atae zaliwa kesho poa tu abakie na shida zake ishu ya sustainability haimuhusu kwa comment hz hatudikiBinafsi namshukuru mkoloni maana mabaki ya shule zake ndio nilisomea. Mkoloni mtu safi sana.
Sio kwelidini dini dini
Yote yanawezekanaKuna mtu alisema hata wazungu wakija bara letu nasi twende kwao, ndani ya miaka 10, kule kwao tunapafanya panakuwa kama Africa, na wao Africa wataifanya iwe kama kule kwao!
InawezekanaLabda akili
Inawezekana piaUshirikina hii ndio unaharibu uchumi
InawezekanaKuna mambo muhimu ambayo wengi hawayajui:
Wataalam wote wa asili ya mwanadamu na maendeleo wanakubaliana kuwa bara la Afrika ndiyo mwanzo wa maisha ya mwanadamu.
Yaani yapata miaka 200,000 iliyopita, wanadamu wote waliishi bara la Afrika. Kutokana na matatizo mbalimbali, ikiwemo ukame, na hamu ya kuijua zaidi Dunia, kizazi chenye udadisi na chenye uthubutu, kilianza kusafiri kutoka Kusini mwa Dunia, kuelekea Kaskazini.
Kizazi hiki baada ya kufika maeneo yenye baridi kali sana, taratibu miili yao ilianza kubadilika ili kuyakabili mazingira. Ngozi zao zilianza kuwa nene na zenye mafuta mengi kwa ndani ili kutengeneza protection ya mwili dhidi ya baridi kali. Ngozi zao zilianza kubadilika rangi pia. Mpaka leo wale wazungu wanaoishi maeneo ya paridi kali sana, ngozi zao ni nyeupe, wakati wale waishio maeneo ya baridi ya wastani, ngozi zao ni brown.
JIBU KWA SWALI LAKO:
1. Waafrika ni kizazi kilichoachwa barani Afrika. Ni kizazi cha watu waliokuwa waoga na ambao hawakuwa na uthubutu.
Mtu mwoga, asiye na uthubutu hawezi kuwa na mafanikio makubwa. Mtu mweusi ni kizazi cha watu waoga, waliokuwa wamekosa uthubutu. Mapungufu haya wameyarithisha kwa vizazi vyao.
Shida ipo kwenye utofauti wa fikra au mitazamo yetu tu.Wakati waislam wengi hasa waarabu sio wachapakazi kama sisi watu weusi na siamini kama wanatuzidi akili. Tatizo ni nini?
Upo sahihiTunajiuliza kwanini afrika nchi zetu bado masikini? Mimi nauliza ni nchi gani afrika viongozi wake wana amini au kuwa na mtazamo kuwa upo uwezekano nchi yao kuwa tajiri au kuwa na maendeleo makubwa?
Mitazamo yetu ndio inayofanya tuendelee kubaki hivi tulivyo, hata kwenye maisha binafsi ya mtu mmoja mmoja mitazamo ina nafasi kubwa sana.
Inawezekana piaNa wasingekuja wakoloni hata hapa tulipo tusingekuwepo
Upo sahihiHata wewe ukipewa nafasi utact the same ni asili ya waafrika wote
Ndio tunatakiwa tujijengee huo utamaduni wa maendeleo.Kuendelea sio utamaduni wetu