Kwanini Tangu waafrika tupate uhuru Hadi Sasa hakuna nchi Tajiri iliyofanikiwa

Wakati waislam wengi hasa waarabu sio wachapakazi kama sisi watu weusi na siamini kama wanatuzidi akili. Tatizo ni nini?
Kilichowafanya waarabu kuwa na maendeleo ni dini ya kiislam.
Hata nchi za Morocco Misri Algeria Libya Tunisia Mauritania angalau wananafuu ya maisha kuliko nchi za kusini mwa jangwa la Sahara ni dini ya uislam.
Kwa maana ya kupitia mafundisho ya dini angalau viongozi wao wanawajali wananchi kupitia udugu wa kiislam kupitia dini wao hawana mkubwa wala mdogo hivyo mambo kama dhuluma, ufisadi, wizi, kuiba pesa na kuficha ulaya hayapo sababu viongozi na wananchi wote wapo chini ya mfumo mmoja wa dini.
 
Binafsi namshukuru mkoloni maana mabaki ya shule zake ndio nilisomea. Mkoloni mtu safi sana.
Sasa kuna watu bado wanakwambia et waafrika tupo nyuma kimaendeleo kisa tumeacha imani zetu za asili na tamaduni zetu na kukumbatia imani za kuletewa, sasa hapo unajiuliza wasingekuja hao wazungu na tukabaki kama tulivyo hali ingekuaje?
 
Wapigania uhuru walipigania maslai yao binafsi na sio maslai ya bara la Africa.
Walipigania uhuru ili waje waombe misaaada na sio kujitegemea
 
Sasa kuna watu bado wanakwambia et waafrika tupo nyuma kimaendeleo kisa tumeacha imani zetu za asili na tamaduni zetu na kukumbatia imani za kuletewa, sasa hapo unajiuliza wasingekuja hao wazungu na tukabaki kama tulivyo hali ingekuaje?
Kwa pace tuliyokuwa nayo. Wazungu wametutoa mbali sana.
 
Kilichowafanya waarabu kuwa na maendeleo ni dini ya kiislam.
Hata nchi za Morocco Misri Algeria Libya Tunisia Mauritania angalau wananafuu ya maisha kuliko nchi za kusini mwa jangwa la Sahara ni dini ya uislam.
Kwa maana ya kupitia mafundisho ya dini angalau viongozi wao wanawajali wananchi kupitia udugu wa kiislam kupitia dini wao hawana mkubwa wala mdogo hivyo mambo kama dhuluma, ufisadi, wizi, kuiba pesa na kuficha ulaya hayapo sababu viongozi na wananchi wote wapo chini ya mfumo mmoja wa dini.
Pia Mtume Mohammad ana CV ya ufanyabiashara kabla hajaanza harakati za Dini.
 
Mnafikiri mmewazidi akili waarabu ?
Hakuna race iliyozidi akili race nyingine. Angalia hata waarabu wa uswahilini wengi wao hawajielewi. Nakumbuka shule niliyosoma waarabu walikuwepo kibao ila wengi wao walikuwa vilaza.

Ni issue ya mtazamo na fikra ndo inadetermine maendeleo ya nchi na si race.
 
Nafikiri ni suala la IQ zaidi...namna tunavyoona mambo, kuchakata na kuyapambanua
Mfano Mchina anaona Maranda ya mbao kama ni malighafi kwaajili ya kutengenezea Ceiling body ila sisi tunaona kama kitu cha kuwashia moto
Cc: Mahondaw
 
Hakuna race iliyozidi akili race nyingine. Angalia hata waarabu wa uswahilini wengi wao hawajielewi. Nakumbuka shule niliyosoma waarabu walikuwepo kibao ila wengi wao walikuwa vilaza.

Ni issue ya mtazamo na fikra ndo inadetermine maendeleo ya nchi na si race.
Waafrika wamezidiwa akili mbali kabisa na wachina,wakorea,wajapan
 
Sasa kuna watu bado wanakwambia et waafrika tupo nyuma kimaendeleo kisa tumeacha imani zetu za asili na tamaduni zetu na kukumbatia imani za kuletewa, sasa hapo unajiuliza wasingekuja hao wazungu na tukabaki kama tulivyo hali ingekuaje?
Hawaelewi,kwanza tafsiri ya waafrika kuhusu maendeleo kabla ya ukoloni ni tofauti.
Waafrika halisi ni wahazbe na bushman waulize kuhusu maana ya maendeleo watakwambia ni uhakika wa kula na kulala.
 
Waafrika wamezidiwa akili mbali kabisa na wachina,wakorea,wajapan
Leo mchukue mchina au mkorea akiwa mtoto halafu mlete huku uone kama atakuwa na akili kuzidi wenzake darasani.

Ni mifumo tu inaifelisha Afrika.
 
Ndio hawa wanao lalamikiwa kariakoo na sehemu mbalimbali Tanzania kwamba wanachukua fursa za wazawa mpaka agenda zao zinafika katika vyombo vya habari hadi bungeni.

Mahali popote walipoenda wachina nje ya China wameendelea kwa ukubwa na kuteka fursa za kichumi,kielimu za mataifa mbalimbali.

Hata Singapore ni moja ya products za wachina kuwa wengi.
 
Tatizo ni ngozi?

Ubongo?

Au tuliumbwa tuwe masikini na Tegemezi?

Au hii sehemu Mungu aliiweka kama mashambani pa dunia watu watoke kwingineko waje wapige pesa na kuondoka.

Maana Sasa hivi DUNIANI Kila rangi inayoamua kuendelea duniani inaendelea tena faster isipokuwa hii nyeusi rangi ya kichawa.

Hata Afrika kusaini inayoonekana kama imefanikiwa lakini waliofanikiwa ni Wazungu tu sio rangi nyeusi.

Jiji la Singapore Mwaka 1960s Wenda ilikuwa inazidiwa na jiji la mzizima lakini walipopata uhuru wakaamua Hadi Sasa ni kama wazungu.

Kuna shinda mahala wakuu.

Ni hilo tu
Matunduizi
Si tuliambiwa we are the Dona Kantri?
 
Utajiri ni nini ? Je unaweza ukasema India ni Tajiri ?

Inategemea perspective yako unataka ufike wapi kama unataka kuwa India au unataka kwenda na watu na mhenga mmoja alivyosema It's better to move one step with the people than ten steps without (wakamuua)

Kwa muktadha huo watu wakipata basic needs na ujira wakuweza ku-sustain maisha yao na kuwepo na Huduma affordable kama vile Afya, Usafiri na Makazi (hapo nchi itakuwa wealthy)

Na kupata hicho sio vigumu ni kuhakikisha cake ya taifa inasambazwa vizuri jambo ambalo halifanyiki sababu ya corruption, ulafi na umimi wa viongozi bila kusahau marginalization na faulo za developed countries...

Ndio hawa wanao lalamikiwa kariakoo na sehemu mbalimbali Tanzania kwamba wanachukua fursa za wazawa mpaka agenda zao zinafika katika vyombo vya habari hadi bungeni.

Mahali popote walipoenda wachina nje ya China wameendelea kwa ukubwa na kuteka fursa za kichumi,kielimu za mataifa mbalimbali.

Hata Singapore ni moja ya products za wachina kuwa wengi.
Huko Zambia wachina wapo kibao kuna mpaka mapolisi wa kichina ila nchi haiendelei. Ni mifumo tu hasa mfumo wa elimu ndo unaifelisha Afrika. Sio kwamba wachina wanazaliwa na IQ kutuzidi.
 
Tatizo ni ngozi?

Ubongo?

Au tuliumbwa tuwe masikini na Tegemezi?

Au hii sehemu Mungu aliiweka kama mashambani pa dunia watu watoke kwingineko waje wapige pesa na kuondoka.

Maana Sasa hivi DUNIANI Kila rangi inayoamua kuendelea duniani inaendelea tena faster isipokuwa hii nyeusi rangi ya kichawa.

Hata Afrika kusaini inayoonekana kama imefanikiwa lakini waliofanikiwa ni Wazungu tu sio rangi nyeusi.

Jiji la Singapore Mwaka 1960s Wenda ilikuwa inazidiwa na jiji la mzizima lakini walipopata uhuru wakaamua Hadi Sasa ni kama wazungu.

Kuna shinda mahala wakuu.

Ni hilo tu
Matunduizi
Wazungu hawataki tufanikiwe, angalia Libya ya muamar gaddafi ilitoboa, wakaamua kuishambulia iwe hohehae
 
Hakuna race iliyozidi akili race nyingine. Angalia hata waarabu wa uswahilini wengi wao hawajielewi. Nakumbuka shule niliyosoma waarabu walikuwepo kibao ila wengi wao walikuwa vilaza.

Ni issue ya mtazamo na fikra ndo inadetermine maendeleo ya nchi na si race.
Upo sahihi kabisa, hii issue ya mitazamo ndio maana mie naenda mbali zaidi binafsi huwa naona hata suala la ubaguzi wa rangi huwa naona anayebagua na mwenye kushughulishwa sana na huo ubaguzi wote wana mitazamo isiyo sahihi kwa mmoja kujiona bora et kisa rangi ya ngozi yake na mwengine kujiona dhaifu kisa rangi yake nyeusi.
 
Back
Top Bottom