Kwanini Tanzania hakuna daily briefing juu ya Corona virus pandemic?

China shule zimeanza kufunguliwa kwa wanafunzi wa final years.. Ugonjwa umeshazoeleka!
Embu acha kudanganya watu. Hakuna kitu kinaitwa kuzoea ugonjwa. China wamepambana nao sana. Umeondola na wananchi wa kutosha.
Wamepambana mpaka wamedhibiti. Na kwenye kudhibiti walikuwa serious.. ndio maana wamefika hapo walipo. Wamweuhusu baadhi ya suughuli kuendelea.
Huku kwetu ndio kwanza tunaanza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu Waziri amejitahidi sana. She's one of the best. Ingawa namuonea huruma juu ya afya yake ya akili. Ameona mengi ya kuhuzunisha kipindi hiki na amesikia mengi. Kuweka usawa wa kitaalam na siasa si kazi rahis.
Huyu mama anastahili Nobel Prize. Ni mfano wa wapambanaji. Sio rahisi kupenda kuwa kwenye nafasi yake kipindi hiki kigumu.
 
Bado itakuwa ngum kiongo,sababu utajitahidi kuchukua tahadhali,lakini kama jirani yako au watu wako wakaribu ambao unajamiana nao kila siku tahadhali yao kubwa wanayo chukua ni kunawa mikono kwa maji na sabuni na wanasafiri kama kawaida bado ngoma nzito.
Tukifika hapo ujue ni wakati wa mtu mmoja mmoja kuchukua tahadhari, the thing is real.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Atoe update wakati corona nchini imeasha? Watu wote tumeshajifukizia na kufanikiwa kudevelop imunity,hata wale wachache walioreportiwa kupata corona,sasa wamepona and no new cases,Hongera rais hongera CCM sasa ni mwendo wa kuchapa kazi tu
 
Toka Mkuu wa Kaya atoe ile hotuba yake kule kijijini, naona upepo wa kutoa taarifa umebadilika kabisa! Watoa taarifa sijui wameingiwa na hofu ya kutumbuliwa!!

Mola atuepushe na hili janga kwa kweli na sisi tukiendelea kuchukua tahadhari kila wakati.
Mkuu aliteua katibu mkuu mpya kwani hukusikia? Watendeji wote wa wizara wanalipoti kwa katibu mkuu na siyo kwa waziri,hivyo info zote zinaishia kwa katibu mkuu.
 
Huku kwetu barakoa za jero jero ndo mpango mzima ...kunawa maji Kama kote..tumazoezi twa hapa na pale.tangawizi vitunguu swaum na mchai mchai havikosekan ndan.
 
Wote wanamuogopa jiwe hadi kwenye mambo ya msingi. Watu wazima wanaogopa mtu ambaye anaamini conspiracy theories? hahaha jiwe ni kilaza asiyejijua kua ni kilaza na watu hawalioni hilo, ushamba unamsumbua, bichwa kubwa tu limejaa ye ndo daktari bingwa wa tanzania, mchumi mkuu, profesa wa kila kitu, yaani kwa lugha rahisi mungu wa tanzania. Mtakufa ka kuku keep watching
 

Kwani maeneo unayoishi hakuna vifo? Kama hakuna ujue mambo yanaenda vizuri.
 
Jikinge na uwakinge uwapendao....hilo tu ndo unaloweza kufanya
 
Makaburi ya Halmashauri ni Buza kama sijakosea, Yamejaa. Wamehamia Kondo, kila siku lile gari la Huduma ya Maziko la Halmashauri linapita kuelekea huko. Nadhan kule wanapeleka misaada na gari lile.
 

Kwa hiyo wewe ni mbuzi huwezi kumwambia? Wewe usie ogopa kamwambie kama una jeuri, pia watakapofikia watu kufa kama kuku na wewe utakuwamo, sasa unamtisha nani, jisemee mwenyewe ndugu.
 
Kwa hiyo wewe ni mbuzi huwezi kumwambia? Wewe usie ogopa kamwambie kama una jeuri, pia watakapofikia watu kufa kama kuku na wewe utakuwamo, sasa unamtisha nani, jisemee mwenyewe ndugu.
Mi siwezi kufa kwa korona, nyie ndo mtakufa, na jiwe anajua vizuri tunavyomsema, hujui tu ambavyo anapita jf kila siku anapata hasira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…