Kwanini Tanzania hakuna daily briefing juu ya Corona virus pandemic?

Inawezekana "wameamuwa" kufanya hivyo ili kupunguza hofu kwa jamii. LAKINI HII NI DALILI MBAYA HUKO MBELENI.

kama hujaelewa soma comments.
 
Wewe ni praise team sasa unataka nani akijibu hili swali wakati wahusika wote huwa unakutana nao huko Lumumba?
 
Usichanganye mambo mkuu hio ni Weather forecast, Hapa tunaongelea update za kilichojili kila baada ya muda fulani ni takwimu halisi na sio utabiri ndio mana ya daily briefing
Ndio maana nilimjibu kidhungu vs ug'eg'e. Watu kama hawa hakuna haja ya kuwafafanulia mkuu.
 
Tutakwisha, na tunakwisha kweli! Bilgates alisemaje kumbe vile?

Kuna kitu bado sijakifahamu vizuri kwenye hii pandemic, mostly wanaokufa au kuambukizwa ni watu Wa juu kwa maana ya vyeo na Wa kati, sijapata ninaemfahamu kapuku ameambukizwa au kufa( hapa sijaelewa vema hili gonjwa)


Right now kuna banker mmoja amerest tetesi zinasemwa ni covid19 so people wanasubiri modality ya maziko wajipe conclusion.
Hopeful bank nzima na wateja watapigwa karantini.



Tuendelee kukikinga kadri tuwezavyo.
Mnaoenda bank jitahidini muende na kalamu zenu from home, zile za kwenye kamba usalama hafifu sana, tetesi za kitaa bank manager's, bank Teller's kadhaa wamepata maambukizi.
Kujifukiza pia njia mbadala tusiache.
 
Faustine Ndugulile si alisema kujifukiza sio salama? Unaunguza njia ya hewa bure wadudu wanashambulia mapafu moja kwa moja.
 
Kwa sababu wanakutana na watu wengi zaidi, kwasababu ni Wagonjwa, kwa sababu kinga zao ziko chini, kwa sababu cases nyingi hazijaripotiwa, kwasaba...
 
Kwa sababu wanakutana na watu wengi zaidi, kwasababu ni Wagonjwa, kwa sababu kinga zao ziko chini, kwa sababu cases nyingi hazijaripotiwa, kwasaba...
 
Upotoshaji gani? Ufafanuzi gani? Wa nini? Ugonjwa upo tuache siasa na kujimwambafai ujinga.
Sio kujimwambafy waje hao wasemaji rasmi watupe hali halisi ilivyo. Kwani wanashindwa nini kuleta taarifa rasmi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…