Kwanini Tanzania hakuna daily briefing juu ya Corona virus pandemic?

Madam Ummy yupo kwenye mfungo, msije mkamharibia funga yake kwakutaka awape data za uongo. Ni bora kukaa kimya kuliko kuongopa saizi akitoa mjue anatoa taarifa halisi na sio za wagonjwa 108 kupona ndani ya Siku moja baada ya hotuba.
Ila mkuu jiwe anatufanya vilaza sana... yani kapiga mkwara na sikuhiyohiyo watu wamepona.
 
Mabeberu wanataka kutupanda sasa hakuna case mpya ya kupona, maambukizi wala vifo wanataka tutangaze nini alafu hawajui waziri wetu kafunga au mnataka hadi waha wanaokufa kwa magonjwa ya moyo tuwatangaze ni covid
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…