zimmerman
JF-Expert Member
- Feb 17, 2011
- 1,644
- 3,176
Ualimu tangu miaka ya tisini ulishaanza kupoteza ladha so ilikuwa ili mtu asome ualimu ni apate division two. Chuo kikuu kilichokuwa kikitoa shahada ya ualimu kilikuwa kimoja tu nacho ni UD hivyo hata kuchaguliwa ualimu kwa grade hizo bado kulikuwa na ushindani na ungeweza kupata mtu ana division one point tisa au nane six akakosa law akachaguliwa BAED. So usishangae wanafunzi reasonably bright wakawa walimu na wengi wamekuwa walimu pia.Labda sikuhizi bana,enzi hizo tunapiga matriculation hakuna mtu mwenye ufaulu mnono alikimbilia ualimu,Zama zimebadilika for sure