Kwanini Tanzania Walimu wenye Masters hawatambuliwi kimasilahi?

Kwanini Tanzania Walimu wenye Masters hawatambuliwi kimasilahi?

Labda sikuhizi bana,enzi hizo tunapiga matriculation hakuna mtu mwenye ufaulu mnono alikimbilia ualimu,Zama zimebadilika for sure
Ualimu tangu miaka ya tisini ulishaanza kupoteza ladha so ilikuwa ili mtu asome ualimu ni apate division two. Chuo kikuu kilichokuwa kikitoa shahada ya ualimu kilikuwa kimoja tu nacho ni UD hivyo hata kuchaguliwa ualimu kwa grade hizo bado kulikuwa na ushindani na ungeweza kupata mtu ana division one point tisa au nane six akakosa law akachaguliwa BAED. So usishangae wanafunzi reasonably bright wakawa walimu na wengi wamekuwa walimu pia.
 
Kama BSC akisoma master atakuwa mpumbavu sana. BA education wasome tu master hawana option nyingine.
BSC ed nawashauri msisome master jiendelezeni ujuzi mwingine muanzushe tukampuni uchwara.
Kuna watu wanajya ohms law tu wanatukmpuni uchwara wanapiga hela.
Waacheni ngwine wapige master wakajikombe kombe halmashauri wawe waratibu.
 
Mfano2, nchi Kama Uganda, Namibia, Rwanda, Cameroon, DRC, Zambia etc hizo nchi zote rank za mishahara kwa Walimu zinatambua Shahada ya Pili ya Elimu, Sasa kwanini Tanzania ishindikane..kuna haja kwa viongozi wa Elimu kuliangalia upya.
Nasikia mpaka Kuna wakaguzi Elimu Wana diploma jaman duh!
 
Hapana wasome masters bila kujali Ni science/art, haya mambo yanabadilika sana, first degree ya miaka hii ni diploma iliyochangamka
 
Hapana wasome masters bila kujali Ni science/art, haya mambo yanabadilika sana, first degree ya miaka hii ni diploma iliyochangamka
Umeajiriwa?
Chunguza halmashauri uliopo utajua. Kuna watu wana master now 10year.
Kumbuka miaka 10 kloopita master hazokywa nyingi.
Soma master ambayo itakuwezesha kufungua kampuni ufanye biashara upate hela. Habari za kusubiri vyeo ni bora ujiunge na chama pendwa ambacho huwatunuku watu vyeo hata kama hawana elimu.
Kuja mtu bsmfahamu ana Phd na umri unasogea bado ansshika chaki sekondari.
Muigeni Elon Musk anasoma vitu vinavyomake sense

Tujifunze teknolojia, haimtupi mtu sio mambo ya academic af unapigwa dolo.
Sidhani Kama hizo takwim ni sahihi..wanafunzi wa Masters 3000 ed. tu, naona Kama idadi ni kubwa Sana.
Fuatilia vyuo vyote na wanaosoma nje ya nchi.
Master ni biashara zinatolewa kede
 
Chukua takwimu vyuoni.
Master za Ed pekee zinazidi 3000 kwa mwaka.
Mara miaka 5. Na wanaosoma ni vijana.
Wapo wengi value yao ishashuka.
Vijana watafute njia nyingine ya kutokea maisha
Si kweli msiongee msivyovijua... masters elf 3 kwa mwaka? Serious?
 
Mfano2, nchi Kama Uganda, Namibia, Rwanda, Cameroon, DRC, Zambia etc hizo nchi zote rank za mishahara kwa Walimu zinatambua Shahada ya Pili ya Elimu, Sasa kwanini Tanzania ishindikane..kuna haja kwa viongozi wa Elimu kuliangalia upya.
Nasikia mpaka Kuna wakaguzi Elimu Wana diploma jaman duh!
Nadhani hapa ndio palikuwa pa kuanzia
Mkaguzi hana shahada ya umahiri katika elimu huwa anaenda kukagua nini sasa?
Maana ni bora wangekuwa hired kwenda ukaguzi walau wawekewe na muundo wao wa utumishi ingeleta maana
Sasa diploma anafanya nini au ana uzoefu wa kukagua?? yaan astashahada anamkagua shahada au uzamiri au umahiri???
Mfumo ni dude la hovyo fulani
 
Ili waendelee kuleta malalamiko humu?
Hata hii first degree inayotambulika miaka hii ujue juz tu hapa miaka ya 90 ilikuwa haitambuliki Ila watu walitoa mapendekezo ikaanza kutambulika, wale wenye kusoma waache wasome hayo malalamiko hawakulalamikii wew na familia yako wanawalalamikia wenye mamlaka ya hayo Mambo ya mishahara.
 
Back
Top Bottom