Friedrich Nietzsche
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 2,095
- 3,649
kutrend ni KuvumaKutrend - Kiswahili
Kushabikiwa - kiingereza
Yote maneno ni Sawa huwezi kutrend bila kushabikiwa
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
...Hivi kweli Pierre Likwidi aliishia Wapi? Jamaa alinunuliwa Hata Tiketi ya Kwenda Kuishagilia Taifa Stars!...Bashite aliwahi kukosoa umaarufu wa hovyo wa pierre likwidi akaishia kudhihakiwa na kuoga matusi
Weka na ekizampo bazi...Kwa mfano Mtu (Bondia) wa hovyo na very Unprofessional Karim Mandonga (ambaye hata Kupigana hajui) na ana Upuuzi mwingi anashabikiwa na kusifiwa kila Kona huku akitrendi ila aliyempiga na anayejua Ngumi Bondia Kaoneka haimbwi, asifiwi, hashabikiwi na hata 'hatrendi' pia hadi Kuonekana ni Mshamba fulani hivi.
Naanza sasa kuamini kuwa kuna shida ndani ya Vichwa vya Watanzania wengi kama tunasapoti Mambo Hasi na Upuuzi mwingi wa Kimatukio katika Jamii yetu hii tukidharauliwa na kuitwa Majuha (Fools) tutakuwa tunakosewa Adabu na wanaotuita hivyo?
Inasikitisha mno tu na haingii Akilini!
Bongo hata maofisini ukiwa smart sana kichwani utapata maadui wengi....ila ukiwa farafara flani kila mmoja atakukubali,
Bashite mwenyewe ni wa hovyoBashite aliwahi kukosoa umaarufu wa hovyo wa pierre likwidi akaishia kudhihakiwa na kuoga matusi
Jadili Hoja Kuu na si hsya maneno kwani huna unachokijua juu ya haya maneno tajwa na matumizi yake sawa?Kutrend - Kiswahili
Kushabikiwa - kiingereza
Yote maneno ni Sawa huwezi kutrend bila kushabikiwa
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Ndio uthibitisho kuwa kuna mtu alitugeuza kuwa mazuzu ILA mimi sio zuzu
Hana Akili huyo Ndugu pamoja na hao waliompa Likes hapo. Anadhani MINOCYCLINE ' Gifted Intellectually, Knowledgeable, Challenger and Well Informed Person' nimekurupuka tu Kuyaandika / Kuyatumia haya ( hayo ) maneno Mawili.kutrend ni Kuvuma
kushabikiwa ni kupata ufuasi au kuungwa mkono
kuna tofauti hapo kuvuma kitu chochote kiwe kibaya au kizuri,kinaweza kuvuma, kuwa gumzo
Kushabikiwa lazima kitu kiwe na wapenzi!!..wanaokikubali
Ndiyo ujue kama Taifa tulikuwa na huenda bado ni Wapumbavu sana tu Ndugu....Hivi kweli Pierce Likeidi aliishia Wapi? Jamaa alinunuliwa Hata Tiketi ya Kwenda Kuishagilia Taifa Stars!...
Kwahiyo Mpumbavu akitrendi Ulaya au Marekani ni justification kuwa lazima na huku Kwetu Afrika ( hasa Tanzania ) akitokea wa Kufanana nae basi nasi tumuunge mkono?Kwani nchi nyingine watu design hii hawapati uungwaji mkono mkubwa? Kama yule mcheza mpira airways Speed aliyekuwa clearly offside. Week hii ametrend sana huko duniani alipocheza mechi ya hisani
What do you think could be the Solution?Ujinga na upumbavu upo kwa kiasi kikubwa sana katika jamii yetu, wengi wetu ni wajinga tulio pitiliza.
Katika mkusanyiko wowote wa vijana hakuna hoja hata moja inayo jadiliwa hata kwa bahati mbaya.
Piya hata kwenye mitandao hii ya kijamii nayo kwa kiasi chake inakusanya watu haswa vijana na baadhi ya watu wazima, cheki maudhui yanayojadiliwa katika mijadala mbalimbali, ni ujinga ulio vuka ujinga wenyewe.
Njoo hata hapa jamii forum ona mijadala inayojadiliwa kwa wingi, ni ile isio na tija, mada za mapenzi, ngono, burudani na zisizo na kichwa wala miguu ndio zinapokelewa kwa bashasha sana, ona hata mada ya sekfika sijui utakuta mtu yupo kule tokea mapambazuko ya jua mpaka usiku wa manane kazi kuomba picha na kutuma picha, mara licha ya kucha mara picha nywele na ujinga mwingi usio elezeka.
Ona mada za kufumaniwa na kufumania, ona uzi wa kula tunda kimasiara na nyinginezo nyingi za kijinga na kuumiza wengine kihisia ndio zinapendwa mno!
Twende kwenye vituo vyetu vya redio, hata ile redio ya taifa TBC ni ujinga mtupu, vituo vya redio kila kona, maudhui yake sasa!
Michezo, burudani, matamasha, kamari ,miziki, hadithi za kutunga zisizo na kichwa wala miguu, tokea asubuhi mpaka asubuhi, bado vituo vya redio vya kidini ni miujiza face tu ndio ina trend.
Nenda facebook, nenda instagram,nenda tweeter, tik tok sijui, ni ujinga mtupu.
Nenda hata bungeni ni ujinga mtupu!
Wakati huo wigo wa umaskini unazidi kua mpana
Izingatiwe pia wigo wa kupatikana kwa elimu umekua mkubwa pia.
I agree with you 100%Tengeneza pesa kwa wajinga na ukishindwa jua wewe mjinga tu....
Mandonga na genge lake wako very smart
Pesa ziko kwa wajinga shida ni kuvuta pesa zao ki urahisi ...ukiona mtu ameliweza Hilo jua Yuko very smart
...Hivi kweli Pierce Likeidi aliishia Wapi? Jamaa alinunuliwa Hata Tiketi ya Kwenda Kuishagilia Taifa Stars!...
Hili nalo ni swali la kizuzu, wenzetu wamemudu kuigonganisha spacecraft na astronoid, jaribio la kwanza kabisa kufanywa in a modern science, wewe endelea kuuliza viswali vya kizuzu na kugombonia vijiajira ushwaraMtaje huyo aliyetugeuza mazuzu,