Kwanini tukarabati kivuko kwa Tsh. bil 7.5 wakati kipya ni bil 8.5?

Kwanini tukarabati kivuko kwa Tsh. bil 7.5 wakati kipya ni bil 8.5?

Ebu..Twende kwa vielelezo hapa!
Tuache blahblah!
Baadhi Watendaji wa rais ni wapigaji sana!
sikilizia wataalamu wakichambua zile Bil 7.5 za ukarabati wa mv magogoni. Walisema ifuatavyo...

1. Kile kivuko kinaendesha na engine 4.
2. Engine zile ni za caterpillar yani zile machine kama za kuunda barabara.
3. Engine moja haiwezi zidi mil 350
4. Kwa kukadilia tu engine zote nne ni kati ya bil 1.2 na bil 1.5
5. Hiyo sehemu ya engine ndio project yenyewe na huko kwingine matengenezo ni madogo madogo.
6.Ukiacha mambo ya engine,Radar na Propeller system,ambayo kiuhalisia ndio yenye kubeba gharama kubwa.
7.Ukarabati mwingine woote,ni mambo ya kukwangua rangi ya zamani na Kupaka Rangi mpya,fittings za raba za milango na madirisha.
8.Maboya mapya kwa usalama wa abiria pindi itokeapo dharula safarini nk.

Swali tunaohoji ni;

Kama engine 4 ni kati ya bil 1.2 na 1.5, na matengenezo mengine tuchukulie basi mil 700, je hizi karibia bil 5.3 zimaenda wapi?

Nani yupo nyuma ya upigaji huu?
Nani alipanga matumizi haya akiwa na nani au kamati gani?
Waziri wa fedha anajuwa hili na aliwajibika kufatilia?
Kwa nini tukatengenezee kenya wakati tuna songoro marine ltd mnajaribu kwenda kuficha nini?
Au dili hili limeanzia visiwani kwa waziri kuelekea Mombasa kwa mkarabati?

Je! TAKUKURU imeingilia kuchunguza sakata hili maana sio kitu cha kawaida na ukisikia minong'ono kibao ujue kuna uwalakini mahali.

Hapo ndio tungeona vyombo husika,vikith8bit8sha umuhimu wa kuwepo kwake!

Nawe tafakari na utowe yako mawazo!

Hapa sio siasa bali uchungu wa kodi zetu,walalahoi wa Tanzania hii.

#Kataa wahuni.
 
Mambo mengi watu wanafanya kiujanja ujanja!

Kipindi cha Sea tax za azam zilipoanza kutoa huduma kwa zaidi ya miezi 4 kienyeji; tulihoji humu hao azam wako pale kwa mkataba gani wa kiserikali?...
Nchi ngumu hii
 
Shamba la bibi mwendo kujichumia tuu, wizi hadharaniii mchana kweupe!
 
Hiki hapa ni kivuko kipya kilijengwa na Songoro Marine kikapelekwa Mafia- Nyamisati!, Kilijengwa kwa Billion 5.8 kipya sio ukarabati! Sasa sijui wanapeleka tender Kenya kufanya nini wakati miaka mingi Songoro Mirine amekuwa mjenzi na mkarabati wa hivi vivuko vyetu kwakushirikia lna na TEMESAView attachment 2519632
Umeambiwa kila cha magogoni ni abiria buku mbili na tani mia tano za mizigo!! NB: Kuhusu upigaj Nchi hii ni kama kuvuta pumzi ili uishi, hakuna awamu ipi wala ipi upigaji ni jadi Nchi hii!! Ni vile kuna nyakat ilikua huez kuhoji hata vyombo vya hbr kuhoji marufuku!!
 
Wewe kwa akili ukiingalia ile Mv Magogoni ao watu elfu 2 inawaweka wapi?
 
Hicho cha billion 8 ni kikubwa sana na itakuwa wastage ya pesa kukinunua maana eneo la kigamboni ni fupi sana kuhitaji kivuko kikubwa...
Asante. Kama inawezekana tuwekee na source kabisa eg. website za wajenzi ili ukweli uzidi kuwa wazi. Pangekuwa na nia njema, serikali ingetoa ufafanuzi wa kueleweka.

Kama tulinunua kivuko 2008 Kwa 8b, watuambie the same ferry ni bei gani leo?

Watuwekee na source, so everyone can check. Unless this is done, we won't trust anyone, not Samia, not CAG, not even the parliament. Tunapigwa!
 
Hii INSHU ya matengenezo ya Kivuko cha MV Magogoni ipoje? Inasemekana kuwa GHARAMA za matengenezo ni bil. 7.5 ilhali bei ya Kivuko kipya ni bil. 8🙄!
"SWALI" kuna ulazima gani wa kutengeneza kivuko kibovu badala ya kununua Kivuko kipya kama bei zinashabiana🤗?
 
Hicho kivuko kimenunuliwa 2008 wakati dola moja ni 1500 Leo dola moja 2300 ina maana Kwa bei ya Leo tusingeweza kukinunua Kwa Bil 8
Short and clear nadhan umeelewa kidogo serikali washaitolea ufafanuzi
 
Ebu..Twende kwa vielelezo hapa!
Tuache blahblah!
Baadhi Watendaji wa rais ni wapigaji sana!
sikilizia wataalamu wakichambua zile Bil 7.5 za ukarabati wa mv magogoni. Walisema ifuatavyo...

1. Kile kivuko kinaendesha na engine 4.
2. Engine zile ni za caterpillar yani zile machine kama za kuunda barabara.
3. Engine moja haiwezi zidi mil 350
4. Kwa kukadilia tu engine zote nne ni kati ya bil 1.2 na bil 1.5
5. Hiyo sehemu ya engine ndio project yenyewe na huko kwingine matengenezo ni madogo madogo.
6.Ukiacha mambo ya engine,Radar na Propeller system,ambayo kiuhalisia ndio yenye kubeba gharama kubwa.
7.Ukarabati mwingine woote,ni mambo ya kukwangua rangi ya zamani na Kupaka Rangi mpya,fittings za raba za milango na madirisha.
8.Maboya mapya kwa usalama wa abiria pindi itokeapo dharula safarini nk.

Swali tunaohoji ni;

Kama engine 4 ni kati ya bil 1.2 na 1.5, na matengenezo mengine tuchukulie basi mil 700, je hizi karibia bil 5.3 zimaenda wapi?

Nani yupo nyuma ya upigaji huu?
Nani alipanga matumizi haya akiwa na nani au kamati gani?
Waziri wa fedha anajuwa hili na aliwajibika kufatilia?
Kwa nini tukatengenezee kenya wakati tuna songoro marine ltd mnajaribu kwenda kuficha nini?
Au dili hili limeanzia visiwani kwa waziri kuelekea Mombasa kwa mkarabati?

Je! TAKUKURU imeingilia kuchunguza sakata hili maana sio kitu cha kawaida na ukisikia minong'ono kibao ujue kuna uwalakini mahali.

Hapo ndio tungeona vyombo husika,vikith8bit8sha umuhimu wa kuwepo kwake!

Nawe tafakari na utowe yako mawazo!

Hapa sio siasa bali uchungu wa kodi zetu,walalahoi wa Tanzania hii.

#Kataa wahuni.

Yaani ni wizi wizi ,nina uhakika waziri ana mgao wake ndiyo maana anatetea wizi ,mkuu Zitto ebu komaa nalo hili maana hawa jamaa mkiwaacha watakuja kuuza hadi ikulu ya magogoni.
 
Wewe kwa akili ukiingalia ile Mv Magogoni ao watu elfu 2 inawaweka wapi?
Fanya uchunguzi uje na data zako, 2000 ni taarifa toka kwa wahusika hivyo bas ni jambo ambalo lipo open kulifanyia uchunguzi!! NB; Hiyo takwimu ya kivuko cha Mwanza umeitoa wap?
 
Mchakato mzima wameupanga kuanzia kwenye tendering!
Kuna kampuni zilikatwa! Wakambakisha makusudi Songoro akiwa na bei kubwa, na huyo mkenya!

Lengo lilikuwa kuuhadaa!

Haiwezekane utangaze tenda pasipo evaluation budgets ya mradi!
Kuna kampuni kibao zimekatwa kwenye tendering!

Ni bora tenda irudiwe! Bei ya matengenezo haizidi 3.5bil la sivyo kwa bei hiyo bora zinunuliwe SEA TAXS zije kushirikiana na MV KAZ!
Magari yapite darajani
 
Back
Top Bottom