Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani watu 100 waliolipia mia mbili ni sawa na tsh elfu 20 hawa ukiwavusha kwa elfu 75 maana yake ni hasara Mara tatu na nusuAzam analipwa 75,000 kwa trip 1
Nchi ngumu hiiMambo mengi watu wanafanya kiujanja ujanja!
Kipindi cha Sea tax za azam zilipoanza kutoa huduma kwa zaidi ya miezi 4 kienyeji; tulihoji humu hao azam wako pale kwa mkataba gani wa kiserikali?...
Umeambiwa kila cha magogoni ni abiria buku mbili na tani mia tano za mizigo!! NB: Kuhusu upigaj Nchi hii ni kama kuvuta pumzi ili uishi, hakuna awamu ipi wala ipi upigaji ni jadi Nchi hii!! Ni vile kuna nyakat ilikua huez kuhoji hata vyombo vya hbr kuhoji marufuku!!Hiki hapa ni kivuko kipya kilijengwa na Songoro Marine kikapelekwa Mafia- Nyamisati!, Kilijengwa kwa Billion 5.8 kipya sio ukarabati! Sasa sijui wanapeleka tender Kenya kufanya nini wakati miaka mingi Songoro Mirine amekuwa mjenzi na mkarabati wa hivi vivuko vyetu kwakushirikia lna na TEMESAView attachment 2519632
bora ya dakatari msukumaNdani ya nchi zipo kampuni zingefanikisha ukarabati kwa bei ya kawaida.
Huu ni upigaji tu.
View attachment 2519624
Wewe kwa akili ukiingalia ile Mv Magogoni ao watu elfu 2 inawaweka wapi?Umeambiwa kila cha magogoni ni abiria buku mbili na tani mia tano za mizigo!! NB: Kuhusu upigaj Nchi hii ni kama kuvuta pumzi ili uishi, hakuna awamu ipi wala ipi upigaji ni jadi Nchi hii!! Ni vile kuna nyakat ilikua huez kuhoji hata vyombo vya hbr kuhoji marufuku!!
Asante. Kama inawezekana tuwekee na source kabisa eg. website za wajenzi ili ukweli uzidi kuwa wazi. Pangekuwa na nia njema, serikali ingetoa ufafanuzi wa kueleweka.Hicho cha billion 8 ni kikubwa sana na itakuwa wastage ya pesa kukinunua maana eneo la kigamboni ni fupi sana kuhitaji kivuko kikubwa...
Ebu..Twende kwa vielelezo hapa!
Tuache blahblah!
Baadhi Watendaji wa rais ni wapigaji sana!
sikilizia wataalamu wakichambua zile Bil 7.5 za ukarabati wa mv magogoni. Walisema ifuatavyo...
1. Kile kivuko kinaendesha na engine 4.
2. Engine zile ni za caterpillar yani zile machine kama za kuunda barabara.
3. Engine moja haiwezi zidi mil 350
4. Kwa kukadilia tu engine zote nne ni kati ya bil 1.2 na bil 1.5
5. Hiyo sehemu ya engine ndio project yenyewe na huko kwingine matengenezo ni madogo madogo.
6.Ukiacha mambo ya engine,Radar na Propeller system,ambayo kiuhalisia ndio yenye kubeba gharama kubwa.
7.Ukarabati mwingine woote,ni mambo ya kukwangua rangi ya zamani na Kupaka Rangi mpya,fittings za raba za milango na madirisha.
8.Maboya mapya kwa usalama wa abiria pindi itokeapo dharula safarini nk.
Swali tunaohoji ni;
Kama engine 4 ni kati ya bil 1.2 na 1.5, na matengenezo mengine tuchukulie basi mil 700, je hizi karibia bil 5.3 zimaenda wapi?
Nani yupo nyuma ya upigaji huu?
Nani alipanga matumizi haya akiwa na nani au kamati gani?
Waziri wa fedha anajuwa hili na aliwajibika kufatilia?
Kwa nini tukatengenezee kenya wakati tuna songoro marine ltd mnajaribu kwenda kuficha nini?
Au dili hili limeanzia visiwani kwa waziri kuelekea Mombasa kwa mkarabati?
Je! TAKUKURU imeingilia kuchunguza sakata hili maana sio kitu cha kawaida na ukisikia minong'ono kibao ujue kuna uwalakini mahali.
Hapo ndio tungeona vyombo husika,vikith8bit8sha umuhimu wa kuwepo kwake!
Nawe tafakari na utowe yako mawazo!
Hapa sio siasa bali uchungu wa kodi zetu,walalahoi wa Tanzania hii.
#Kataa wahuni.
Fanya uchunguzi uje na data zako, 2000 ni taarifa toka kwa wahusika hivyo bas ni jambo ambalo lipo open kulifanyia uchunguzi!! NB; Hiyo takwimu ya kivuko cha Mwanza umeitoa wap?Wewe kwa akili ukiingalia ile Mv Magogoni ao watu elfu 2 inawaweka wapi?
Hakutaka kabisa kujihusisha na siasa za africa ,anashangaa sana mambo yanayofanywa na waafrica ni zaidi ya maajabuTrump hakukosea kuhusu Africa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Alisema Africa is a shit hole countriesHakutaka kabisa kujihusisha na siasa za africa ,anashangaa sana mambo yanayofanywa na waafrica ni zaidi ya maajabu
Sent using Jamii Forums mobile app