Serikali haipo makini kabisa na hii ni aibu kubwa wanasema kuna Covid 19 na kuna mdau kaniambia hali Bugando hosp sio njema kabisa, then ilipaswa mbio za Mwenge zisiwepo kabisa. Maonesho ya sabasaba ya nini katikati ya janga hili? Kukosa umakini kabisa.
Ila tuliosema hatuogopi kakorona ni sisisisiKwa Hali hii mbaya ya corona, ninaomba mwenye kujua uliko mwenge wa uhuru ili wananchi wajulishwe kuepuka misongamano. Hali ni mbaya wenzangu.
Mama ameamua kukimbiza mwenge, juzi Kati ulikuwa TABORAKwa Hali hii mbaya ya corona, ninaomba mwenye kujua uliko mwenge wa uhuru ili wananchi wajulishwe kuepuka misongamano. Hali ni mbaya wenzangu.
Kama hivyo,tunaonaje ile mikutano ya kudai katiba mpya ni hatari?Kila Wilaya unaopita kuna magari yanapita mitaani kuwaomba wananchi wajitokeze kwa wingi kuupokea Mwenge.
Ataupokea chato Ila ajiandae kupokea vyote. Muhimu Dr mpango yupo na Katiba hiyo hiyo tutaendelea kuiheshimuMama ameamua kukimbiza mwenge, juzi Kati ulikuwa TABORA
Vipi kule Kigoma kwenye mchezo wa watani wa jadi, COVID 19 nako haipo au ile mechi haina mashabiki na wachezaji wamepewa chanjo ?Kwa Hali hii mbaya ya corona, ninaomba mwenye kujua uliko mwenge wa uhuru ili wananchi wajulishwe kuepuka misongamano. Hali ni mbaya wenzangu.
Maajabu ya kumi ya dunia,yanapatikana tz pekeeVipi kule Kigoma kwenye mchezo wa watani wa jadi, COVID 19 nako haipo au ile mechi haina mashabiki na wachezaji wamepewa chanjo ?
Kwa Hali hii mbaya ya corona, ninaomba mwenye kujua uliko mwenge wa uhuru ili wananchi wajulishwe kuepuka misongamano. Hali ni mbaya wenzan
Ataupokea chato Ila ajiandae kupokea vyote. Muhimu Dr mpango yupo na Katiba hiyo hiyo tutaendelea kuiheshimu
Hali ni mbaya kwenye mikutano na makongamano ya chadema tu, huko kwingine kirusi cha COVID19 kinakuogopaKwa Hali hii mbaya ya corona, ninaomba mwenye kujua uliko mwenge wa uhuru ili wananchi wajulishwe kuepuka misongamano. Hali ni mbaya wenzangu.