Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo ni asili ya binadamu wala isikuumize kichwa.Sasa wivu wa nini wakati wote unalipwa tu shinda inakuaje
Piga kazi,ukiingiza battle za kijinga utashtuka slip unasoma one year to retire,ukifeli simama Tena,huko mbele hakuna mtu wa kujibu hoja ngumu isipokuwa wewe,ukimaliza kazi go home,ukiona vipi chili na wanao fanya yako ya dunia hayana mwishoFrom no where mtu huna time nae ananza kukuletea visa visa vya hapa na pale kuna mda unaweza pata hasira hizi kazi za kuajiriwa ni upuuzi.
Yani ukijichaganya uka react tu unaweza timuliwa kazi. Swali langu wakuu kwanini hasa hawa Wanawake wanakua ni sosi ya mashindano kazini? Na nini kifanyike kuepukana na haya mambo?
Kumbuka kazini mmekutana hakuna haja ya mtu kukuingilia maisha yakoHio ndio tafsiri halisi ya maisha yaani yupo tu mtu anakuchukia ingawa humuongezei au humpunguzii chochote ...Kwahio ww omba Mungu akujaalie hekima nanbusara kuishi na watu hao
Watu wa mbeya tunachukiwa in Advance sababu ni kupambana,kila mtu anapambana na shida ni kufunguka codes watesi wanajiona hawana jipya.nadhani kwa sisi waafrila chuki makazini ni kitu kimezoelekana
kuna jamaa alikuwa ananichukia kazini bila sababu ...nikaja kugundua sababu kuna dda tunaitana homeboy na homegirl wote tunatoka mbeya
jamaa huwa anamtaka demu halafu demu hamtaki jamaa so jamaa chuki zake akazileta kwangu
niikuwa nampuuza mpaka yeye mwenyewe akaja kujua mimi ni tofauti na alivyonidhania
halafu sasa watu wa mbeya hatujafunzwa chukiWatu wa mbeya tunachukiwa in Advance sababu ni kupambana,kila mtu anapambana na shida ni kufunguka codes watesi wanajiona hawana jipya.
Sawa Kuna maswala kama mavazi,kukubalika na Boss n.k yaani vitu kidogo vinaweza zalisha chuki ambayo ww hata huelewi inamfikisha mtu wapiKumbuka kazini mmekutana hakuna haja ya mtu kukuingilia maisha yako
Hahaha dadeki ni shiidaSio wanawake tu hata wanaume pia wanakua na chukiii......ukiwa smart katika kazi zako ukipendwa Na maboss Na ukiwa Na Nyota kalii Na ukiwa smart kuwazidi wanafeel inferior Na kuanza kukuonea wivu mwishowe chuki
Kwa vip mkuu?Watu mnofanya kazi moja au mlio kwenye taaluma moja ni washindani wako, siyo washirika wako. Weka hilo akilini.
Mkuu una maana gani unaposema aura reading?Unabidi kuwa positive
Na uelewe au uwe na uwezo wa kufanya aura Reading.
Mkuu una maana gani unaposema aura reading?
Mkuu umeongea kweli tupuKatika taasisi zote nilizowahi kufanya kazi, watu wake wote wanafanana kitabia. Nadhani hii ni common African behavior. Wafanyakazi wenzio hawatakaa wapende mabadiliko chanya katika hali yako ya kimaisha, iwe ni kiuchumi, kiimani, kijamii nk.
Unaweza ukakuta daraja fulani la wafanyakazi ambalo linapokea kiwango sawa cha mshahara au gape la mshahara ni dogo tena ni kutokana na uzoefu. Sasa itokee umeamua kuchagua maisha ya kutokula bata zisizo na maana (pombe na wanawake) ukaamua kutumia hela yako kuboresha hali yako ya kimaisha kwa kufanya vitu vya maana (kununua assets au shughuli yakukuongezea kipato) chuki, fitina, visa na vitendo vya kishirikina utakavyokutana navyo kama humtegemei Mungu na hujasimama kiimani nakwambia huwezi toboa hapo kazini.
Na jinsi binadamu walivyo wa ajabu, wanaweza wakakusaka kote huko kisirisiri ila wakikushindwa kuna siku tu watakwambia kabisa jinsi lifestyle yako inavyowanyongorota, iwe kwa bahati mbaya au makusudi.
Nadhani hii hulka huenda ndio sababu kuu iliyomfanya shetani akachagua mizizi wa Uchawi Mweusi (Black Magic) aichimbie Afrika.
Posho n vyeoFrom no where mtu huna time nae ananza kukuletea visa visa vya hapa na pale kuna mda unaweza pata hasira hizi kazi za kuajiriwa ni upuuzi.
Yani ukijichaganya uka react tu unaweza timuliwa kazi. Swali langu wakuu kwanini hasa hawa Wanawake wanakua ni sosi ya mashindano kazini? Na nini kifanyike kuepukana na haya mambo?
Mbona somo refu umelifanya kuwa fupi MkuuAura Reading -ni kumjua MTU either ni mbaya au mzuri Mara tu unapokutana naye kwa Mara ya kwanza.