Uchaguzi 2020 Kwanini Tundu Lissu anarudia kanda ya Ziwa badala ya kwenda Kanda ya Kusini?

Tundu Lissu yuko Tabora akielekea Shinyanga kwa ajili ya mikutano ya kampeni.

Nauliza tu kwanini haendi kanda ya Kusini?

Maendeleo hayana vyama!

Hajawahi fika meatu,simiyu, masunbwe ,bukombe, na uelewe yeye anafuata ratiba ya Tume.

Bado mikoa ifuatayo
Arusha
Tanga
Lindi
Mtwara
Pwani
Lakini tunachoshukuru makamu yupo vizuri kwa sera kwahiyo hata asipokwenda tayari maamuzi watu washayafanya
 
Acha umbeya
 
Kuna yule mgombea anafanya kampeni DSM wiki sasa, anazunguka tu na akaona haitoshi akaamua kabisa kutumia shughuli ya kiserikali kufanya kampeni.

Mwambie avuke Daraja la Mkapa aende kule alikolala 'Che Benja'
Ukiwa na kale kaugonjwa ka homa ya matumbo huwezi kuwa mbali na maliwato,😆😆😆😆
 
Mpuuzi sana wewe, hizo barabara mmejenga kwa hela zenu au hela za wananchi ?
ni kodi ya dhahabu yetu, huko ikungi ubuyu na matunda pori mta export wapi? watu msioweza kununua kitambulisho cha elfu 20 kwa umasikini,
 
manyoko tujenge barabara yeye aje kutupa shombo, aende ikungi aka share umasikini na wanyiramba wenzake
We nguruwe wa lumumba naona upo zamu ,nguruwe wenzako mbona wapo kimya sahizi
 
Uko pote mbna kaishapita adi nzera, sengelema Mzee wenu ndio hali tete dar tu pamemshinda kumaliza
 
Tundu Lisu yuko Tabora akielekea Shinyanga kwa ajili ya mikutano ya kampeni.

Nauliza tu kwanini haendi kanda ya kusini?

Maendeleo hayana vyama!


Mkuu mbona kamati ya maadili hata haikiri kupokea malalamiko ya chadema ambayo kwa eecords yanafika manne au tano sasa.
 
Mpuuzi sana wewe, hizo barabara mmejenga kwa hela zenu au hela za wananchi ?
tunamsubiri busisi kivuko lazima engene izime katika ya maji akae siku nne wakati mafundi wakijitahidi kurekebisha hitilafu
 
Tundu Lissu yuko Tabora akielekea Shinyanga kwa ajili ya mikutano ya kampeni.

Nauliza tu kwanini haendi kanda ya Kusini?

Maendeleo hayana vyama!
anaenda kupiga bomu kwenye ngome ya ngosha na hadi sasa amefanikiwa kuisambaratisha kwa 75%!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…