Ni kweli, jina la Dkt Magufuli linauzika. Sijui Mama Samia atasemaje maana ana mkana wazi waziMyu yoyote makini...
Akichanga karata zake vizuri, Jina la Magu linampa uraisi 20225.
Japo kwa hao sidhani πππ, siwaoni wakiwa makini.
Hata kona bar Kuna bidhaa zinauzikaNi kweli, jina la Dkt Magufuli linauzika. Sijui Mama Samia atasemaje maana ana mkana wazi wazi
Kama Tanzania ni chato au Burundi sawa linauzikaMagufuli ni mtaj mkubwai kwenye siasa za Tanzania hilo liko wazi.
Magufuli ni mtaji mkubwa sana kwa siasa na wanasiasa wa Tanzania hii na itaenda mpaka kwenye uchaguzi mkuu wa 2025 au zaidi.
Magufuli ni jina na sera tayari zinazouzika zenyewe.
wapo watakaoitumia vibaya au vizuri brand yake.
Kwa siasa za kipindi hiki ni ngumu kumuacha magufuli.
Acha uduwanzi
Vipi leo chato kuna mvua? Au umesharudi Burundi?Acha uduwanzi
Nawezaje kujiunga na hiki chama?Mdada wa Umoja party;
View attachment 2192814
Kada wa umoja party
View attachment 2192816
Hiki chama ni cha wafuasi wa hayati JPM?
Basi tu mkuu....Kwa nini? Mbona unawajaji mapema?
Hao ni misukule ya mfu Mwendazake! Kama hutaki kuwa msukule wa mwendazake basi hawakufai, nenda ChaumaNahitaji kuwa mwanachama/ kada wa hicho chama! Ila watoe hiyo picha ya JPM kwenye tshirt. Inaonesha upendeleo fulani. Waweke picha ya taifa Tz.
Nchi kwanza!
... hata mimi nimejiuliza sana kuhusu hayo!Kwahiyo hao umoja party walikuwa wakifurahishwa na kuunga mkono ukatili, wizi na dhulma dhidi ya raia uliokuwa ukifanyika wakati wa Magufuli kupitia kwa watendaji wake kina Makonda,Sabaya,Mnyeti na wengineo!
Ofisi zipo Bujumbura na Chato. Ofisi ndogo Kigali nenda tuNawezaje kujiunga na hiki chama?
Real eyes realise real lies...Mmeanza kujishutukia,Cdm bana?
HahahahaaaNahitaji kuwa mwanachama/ kada wa hicho chama! Ila watoe hiyo picha ya JPM kwenye tshirt. Inaonesha upendeleo fulani. Waweke picha ya taifa Tz.
Nchi kwanza!
Nenda chato au Bujumbura Kuna ofisi zaoNawezaje kujiunga na hiki chama?