Mbona toka ile 2015 kwenye kampeni Mzee Mwinyi alishasema kuwa chadema ni ccm b maana kulikuwa na wagombea wa ccm kote kote.
Funga domo lako, hiyo NGO ya mbowe haipo kabisa ilishajifiaNi kazi rahisi kusema chadema kimekufa lakini wakati kinazuiwa kufanya siasa kwa miaka sita mlikuwa mnachekelea. Chama kitajiendeshaje bila kufanya harakati?. Halafu ukifika uchaguzi wanaenguliwa kwenye nafasi za uchaguzi na kuwekewa vikwazo vingi Sana. Unapolaumu angalia source ya tatizo sio kukaa na kusubili kulaumu.
Hata kama hawatachukuwa nchi lakini watasumbua.
Funga domo lako, hiyo NGO ya mbowe haipo kabisa ilishajifia
Mdada wa Umoja party;
View attachment 2192814
Kada wa umoja party
View attachment 2192816
Hiki chama ni cha wafuasi wa hayati JPM?
Funga domo lako, hiyo NGO ya mbowe haipo kabisa ilishajifia
Magufuli alikuwa rais wa Tanzania nzima wewe ndiyo unahamasisha ukabila
Twita wa Account yenye NEMBO hiiMdada wa Umoja party;
View attachment 2192814
Kada wa umoja party
View attachment 2192816
Hiki chama ni cha wafuasi wa hayati JPM?
Mtu yoyote makini...
Akichanga karata zake vizuri, Jina la Magu linampa uraisi 2025.
Japo kwa hao sidhani [emoji23][emoji23][emoji23], siwaoni wakiwa makini.
HIKI SIO CHAMA CHENYE MALENGO MEMA KABISA KWA TAIFA LETU KIFUTWE HARAKA SANA,NI UMOJA WA WATU WENYE DUKUDUKU NA VINYONGO,YAELEKEA KIMEANZISHWA KWA CHUKI ILI KUJA KUWA KAMA RIVALS KWA CCM YETU ILIYOPO,NAKIKEMEA KWA NGUVU ZOTE "KIFUTWE MARA MOJA" HII NI S GANG, NA KITAKUWA NI KIFICHO CHA WASIOLITAKIA MEMA TAIFA LETU,KIFUTWE KIFUTWE KIFUTWE MRENGO WAKE NA INTELEGENSIA INAONYESHA SIO CHA WEMA KWA TAIFA LETU.Mdada wa Umoja party;
View attachment 2192814
Kada wa umoja party
View attachment 2192816
Hiki chama ni cha wafuasi wa hayati JPM?
Roho ya Kike HiiKama Tanzania ni chato au Burundi sawa linauzika
Hujui kete ya 2025 ni JPM! Wenzako wameanza na kete Dumehaaaahaaa! Hata ACT mwaka 2015 waliona wanachukua nchi lakini wakaambulia Kura 90,000 nchi nzima za urais na mbunge mmoja.
Watu wakiona chadema wanavyohangaika huwa wanaona Mambo Ni marahisi tu. Hao wanajifurahisha tu, kabla ya 2025 tutakuwa tumewasahau.
Huyu wa Kiume kama namfahamu vileeMdada wa Umoja party;
View attachment 2192814
Kada wa umoja party
View attachment 2192816
Hiki chama ni cha wafuasi wa hayati JPM?
Wamekwisha feli kabla hawajaanza. Falsafa ya Magufuli ilikuwa ni ya ukatili, utekaji, uuaji na uwongo.Mdada wa Umoja party;
View attachment 2192814
Kada wa umoja party
View attachment 2192816
Hiki chama ni cha wafuasi wa hayati JPM?
Kama Magufuli angekuwa na nguvu hiyo asingefanya uhuni wa kuiba kura uchaguzi wa 2020! Kumtumia Magufuli katika campaign yoyote ni LIABILITY na si ASSET.Baba ni baba tu,mtoto hachagui baba so baba awe mwema au mbaya still ni baba yako