Kwanini unatakiwa kuzingatia sana body count?

Na mimi point yangu ni kwamba mwanamke anaekubali kuchezewa mwili wake na kutiwa mimba bila kuolewa ni mjinga kwa sababu hayo ni mambo ambayo anaweza kuyadhiti, pia yeye ndie atakutana na consequencies kwaiyo ndie anatakiwa kuwa macho zaidi.
Badala ya kulaumu wanaume pia unashift the whole responsibility kwa wanawake, unachukia wanawake and you will never be happy with a woman awe bikira or not
 
Vyovyote utakavyotaka kusema, mwisho wa siku kwenye suala la sex na kuzaa mwanamke ndie muamuzi mkuu. Hakuna kinachofanyika bila maamuzi ya mwanamke vinginevyo awe amebakwa.
Kwa taarifa yako mwanaume ndio mwenye maamuzi, yeye ndie anachukua jukumu la kutongoza sio wanawake na wanaume ni natural hunters ukisema no kwake ni more interesting, hatarest mpk akupate.
 
Badala ya kulaumu wanaume pia unashift the whole responsibility kwa wanawake, unachukia wanawake and you will never be happy with a woman awe bikira or not
Mwanaume ameshadhibitiwa kila kona. Ukimpa mimba mwanafunzi ni jela miaka 30, hata ukimshika bega mwanamke bila hiyari yake au ukimsukuma tu ni kosa anaweza kukushtaki na ukashurutishwa kisheria.

Kilichobaki ni kitu kidogo tu cha wanawake ku-play part yao kwa kujitunza na kuwa na stara ya miili yao ili wasi-provoke tamaa ya mwanaume. Lakini wanawake wanashindwa kutumia hekima ku-play part yao. Wanatembea nusu uchi, wanapost utupu wao mtandaoni, wanaendekeza tamaa ya maisha ambayo hawawezi kumudu sasa wasaidiwaje?

Acha tu waendelee kutombwa kiholelaholela, watiwe mimba na kutulekezwa, wabaki kuwa single mother n.k atleast they will learn the hard way, maana hakuna namna nyingine
 
Kwa taarifa yako mwanaume ndio mwenye maamuzi, yeye ndie anachukua jukumu la kutongoza sio wanawake na wanaume ni natural hunters ukisema no kwake ni more interesting, hatarest mpk akupate.
Una akili timamu kweli? Kwamba mwanamke ndie anabeba mimba, ndie anajua mzunguko wa siku zake halafu unasema mwenye maamuzi ni mwanaume. Upo timamu kichwani?
 
Kwa hio ulitaka umpe mimba mwanafunzi then uachwe? Hayo uliyotaja hata ukimfanyia mwanaume mwenzako ana haki ya kukufunga....wewe sema kwako wanawake ni viumbe vinavyotakiwa ku suffer ...mbaya zaidi unasambaza sumu yako kwa wajinga wa humu.
 
Una akili timamu kweli? Kwamba mwanamke ndie anabeba mimba, ndie anajua mzunguko wa siku zake halafu unasema mwenye maamuzi ni mwanaume. Upo timamu kichwani?
Ni nani anayemshawishi mwenzie kufanya ngono kati ya mwanamke na mwanaume....
 
Kwa hio ulitaka umpe mimba mwanafunzi then uachwe? Hayo uliyotaja hata ukimfanyia mwanaume mwenzako ana haki ya kukufunga....wewe sema kwako wanawake ni viumbe vinavyotakiwa ku suffer ...mbaya zaidi unasambaza sumu yako kwa wajinga wa humu.
nimetolea mfano tu lakini kiujumla sheria na miongozo yote kuhusu mahusiano ya jinsia ME na KE inamlinda mwanaume. Sasa kama tayari mwanamke ushapewa ulinzi na mfumo unashindwa vipi kuwajibika wewe mwenyewe kwenye nafasi yako.
 
Very True.

Tuache unafiki pembeni tuongee ukweli, historia ya mwanamke ni kipengele cha kukizingatia sana, na ninachokoandika hapa ni moja ya sababu ya kwanini unatakiwa kuoa mwanamke ambae umemkuta akiwa bikira
 
Ni nani anayemshawishi mwenzie kufanya ngono kati ya mwanamke na mwanaume....
Ushawishi na maamuzi ni vitu viwili tofauti. Ukishawishiwa haina maana hauwezi kufanya maamuzi ya kukataa. Sababu pekee ya kuhalalisha usingle mother ni kama uyo mwanamke alipata mimba kwa kubakwa zaidi ya hapo usingle mother ni taswira ya umalaya na ufanyaji mbovu wa maamuzi.
 
nimetolea mfano tu lakini kiujumla sheria na miongozo yote kuhusu mahusiano ya jinsia ME na KE inamlinda mwanaume. Sasa kama tayari mwanamke ushapewa ulinzi na mfumo unashindwa vipi kuwajibika wewe mwenyewe kwenye nafasi yako.
Wanawake wangewajibika only if wanaume wangewajibika. Kutaka Wanawake wawajibike peke yao wakati kuna wanaume irresponsible ndipo hapo tunakujaji kny sexisim. Ukitaka kujua nature ya wanaume tangia ziwekwe hizo sheria je hamna waliozivunja?!
 
Ufanyaji mbovu wa maamuzi lakini usiowatoa wanaume kwenye responsibility. Hakuna mwanamke aliyejitia mimba mwenyewe. Kwa kila single maza mmoja kuna mwanaume bazazi mmoja aliyrmpa mimba na kumtelekeza. Ujinga ni kulaumu wanawake peke yake katika hili.
 
Wanawake wangewajibika only if wanaume wangewajibika. Kutaka Wanawake wawajibike peke yao wakati kuna wanaume irresponsible ndipo hapo tunakujaji kny sexisim. Ukitaka kujua nature ya wanaume tangia ziwekwe hizo sheria je hamna waliozivunja?
Ni ujinga kugombania kisu na mtu wakati yeye ameshika mpini na wewe umeshika makali. Hata kama hicho kisu ni mali yako itakulazimu utumie tu busara kumwachia kwa wakati huo. Mwanamke ndie mwathirika wa consequencies za unplanned pregnancy kwaiyo utakua mjinga ukitaka kujilinganisha na mwanaume ambae abebi mimba, anyonyeshi wala jamii haimnyanyapai akiwa single father.
 
Kila jinsia inabanwa katika eneo lake maalumu. Hata kwa upande wetu kwenye suala la hela ambazo mnazitaka kutoka kwetu sisi hatuziokoti. Tunapambana kuzitafuta.

Tunapoingia kwenye mahusiano/ndoa hakuna kisingizio, ni kuweka pesa mezani upate hadhi yako ya uanaume au usiwe na hela uondolewe hadhi yako. Unavyoona ugumu uliopo kwenu usifikiri kwetu ni mseleleko na sisi pia tunakutana na ugumu kwenye eneo jingine.

Valued man factors are wealth and connections. Valued woman factors are virginity and innocence. You have standards you're valuable, you lack standards you're shit. No excuse.
 
Nakubaliana na hoja Zako zoteeeeeee kwa asilimia 100

Je wanawake na wao hawana umuhimu kuolewa na mwanaume bikra?
kama wewe ni jinsia ya kiume.Bwana mdogo idadi ya mademu uliokuwa kwenye mahusuano nao haijatosha.

Kama bado upo under 30 hakikisha kabla ya kufika 30yrs uwe umewala mademu 30 angalau kwa uchache.Kupitia hii experience ya mademu 30 utakuwa umekuwa kiakili na kihisia.Alafu urudi uedit hii comment na ucomment kama mwanaume rijali๐Ÿค
 
Tumia akili na busara zako vyema.

Nikupe mfano mdogo tu.Enzi uko shule darasa la saba au form four mtihani wa mwisho kuna waliofeli na waliofaulu.Wewe ukiambiwa uchague upande utachagua upande gani.Dont be stupid unajua pakuchagua.Acha kuuliza maswali ya kitoto.Labda kama wewe bado mtoto na huna uzoefu na wanawake na mahusiano.
 
๐Ÿ“ŒBro upo vyedi.Nachukua nafasi hii nikiwakilisha chama la wana KATAA NDOA kukutunuku PhD ya heshima kwa mchango wako wa kutukuka katika kukuza UANAUME( MUSCULINITY).๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿค
 
Dogo bado hujakuwa.Unanuka maziwa toka hapa nenda kacheze na watoto wenzako.

Siku ukikua rudi ufute hii comment yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ