Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Bila shaka ulipitia jkt, if yes basi Unaweza kupata kazi TFS, BANDARINI, NATAPA, NGORONGORO

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Asali ni dawa tosha, jamaa kapona moja kwa moja[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kaka unaweza ukachelewa wakaamua kuchomoa mtu kwa data base.....maana baadh ya taasisi wanataka wafanyakazi fasta na wanatakiwa wote wafike kwa pamoja ili wawape training kidogo japo siyo kwa taasisi zote lakini kwa TANZANIA AIRPORT AUTHORITY, nilazima wapewe mafunzo so ukichelewa unaweza ona mwana si wako

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Lile swali la watoto watakula degree halitakuwepo tena[emoji3][emoji3][emoji3]
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Hahhhhh hili swali huwa sisahau aseeh afu niliulizwa manzi yupo serious ,sasa huna kazi unataka kuoa hao watoto watakula degree au makaratasi yakusolvia ,mamaeeee jobless hathaminiki πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…