🤣🤣🤣Mkuu master ni degree ya research tu mkuu hata isikutishe Psrs wanajua mkuu Ukiona kitu kipo hivyo washafanya upembuzi wa maana sana na kuacha iwe hivyo ni degree ya miezi 18 tu isikuchanganye kijanaNimekuja kugundua kumbe hawa watu wenye masters wana wapiga ndoige vibaya sana watu wa degree.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ujobless ni full stress hata ukisalimiwa unahisi unatukanwa[emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi nlivyofeli Tra, mtu kesho yake ananiuliza tena wameitwa wangapi oral, yaan hilo swali kumtajia 200+ nliona km anataka kunidhalilisha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ujobless ni full stress hata ukisalimiwa unahisi unatukanwa[emoji23][emoji23][emoji23]
MTU afanye research na afaulu , anakuwa Yuko Sawa na ambaye hajafanya research kabisa..🤣🤣🤣Mkuu master ni degree ya research tu mkuu hata isikutishe Psrs wanajua mkuu Ukiona kitu kipo hivyo washafanya upembuzi wa maana sana na kuacha iwe hivyo ni degree ya miezi 18 tu isikuchanganye kijana
Master ni Added advantage sio entry level, otherwise waseme uwe na Master kama kwenye Assistant Lecture au Managerial position.Nimekuja kugundua kumbe hawa watu wenye masters wana wapiga ndoige vibaya sana watu wa degree.
Nipo ila Sio muda mrefuHivi hupo humu jukwaani mda tu au ni mgeni
Ahaa karibu kwenye Uzi wetu,Nipo ila Sio muda mrefu
Kuna jamaa namfahamu ana Masters tena ya mzumbe+CPA ila ile interview ya NAOT aliishia kupata 28%.so sidhani kama Masters ina mchango wowote katika paper za psrs.Master ni Added advantage sio entry level, otherwise waseme uwe na Master kama kwenye Assistant Lecture au Managerial position.
Ukiwa na Master mbona unakandwa vizuri tu kwenye written za PSRS.
Written yangu ya ORCI kulikuwa na wenye Masters ila wote tulichezea kichapo, yaani wote wenye masters pamoja na mimi tulikandwa, oral tukawa tunaisikia kwa akina wizy.
Prok umekuja na ID nyingine siyo?👀Mimi nlivyofeli Tra, mtu kesho yake ananiuliza tena wameitwa wangapi oral, yaan hilo swali kumtajia 200+ nliona km anataka kunidhalilisha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna masters by coursework na masters by research inategemea umesomea wapi, sio kila masters ni research🤣🤣🤣Mkuu master ni degree ya research tu mkuu hata isikutishe Psrs wanajua mkuu Ukiona kitu kipo hivyo washafanya upembuzi wa maana sana na kuacha iwe hivyo ni degree ya miezi 18 tu isikuchanganye kijana
Sio kweli.Nimekuja kugundua kumbe hawa watu wenye masters wana wapiga ndoige vibaya sana watu wa degree.
Hongera sana mkuu.Namshukuru Mungu kwa mara ya kwanza leo nimekaa mbele ya panel la utumishi Mungu mkubwa.
Leo hakuna placements mpaka Sasa?Hongera sana mkuu.
Karibu kwenye korido la kusubiri matokeo(placements)
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kwamba dada yetu amefuata nyayo za wizyProk umekuja na ID nyingine siyo?[emoji102]
We jamaa na hiyo perception yako, usipobadilika itachukua muda sana kuelewa mambo yanavyoenda kifasaha.MTU afanye research na afaulu , anakuwa Yuko Sawa na ambaye hajafanya research kabisa..
Huyu MTU aliyefanya research anakuwa Ameiva vizur kwenye hiyo program.
Na ndio maana unakuta MTU anapiga mpaka 98 unajiuliza inakuaje , kumbe unafanya interview na mtu ambaye tayar amefanya research kwenye hiyo program.
Vijana wenye degree, endeleeni kukwandwa na wenye masters
Bado bila bila mkuu.Leo hakuna placements mpaka Sasa?
Naona kijana unafanya jalamba mdogo mdogo. Mzee wa Ma-Subaru hayupo sasa, ushindani wa wazi hautokuwa mkali sanaaa.Ahaa karibu kwenye Uzi wetu,
Naam...niliona kuna ujumbe fulani huko nyuma ulimjibu kwa ID ya Prok..akaja kujibu kwa ID hii..basi nika connect dots. Ana maintain anonymity maana tarehe za kulamba asali zimekaribia...ha ha ha.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kwamba dada yetu amefuata nyayo za wizy