Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Nimekuja kugundua kumbe hawa watu wenye masters wana wapiga ndoige vibaya sana watu wa degree.
🤣🤣🤣Mkuu master ni degree ya research tu mkuu hata isikutishe Psrs wanajua mkuu Ukiona kitu kipo hivyo washafanya upembuzi wa maana sana na kuacha iwe hivyo ni degree ya miezi 18 tu isikuchanganye kijana
 
MTU afanye research na afaulu , anakuwa Yuko Sawa na ambaye hajafanya research kabisa..
Huyu MTU aliyefanya research anakuwa Ameiva vizur kwenye hiyo program.
Na ndio maana unakuta MTU anapiga mpaka 98 unajiuliza inakuaje , kumbe unafanya interview na mtu ambaye tayar amefanya research kwenye hiyo program.
Vijana wenye degree, endeleeni kukwandwa na wenye masters
 
Master ni Added advantage sio entry level, otherwise waseme uwe na Master kama kwenye Assistant Lecture au Managerial position.

Ukiwa na Master mbona unakandwa vizuri tu kwenye written za PSRS.

Written yangu ya ORCI kulikuwa na wenye Masters ila wote tulichezea kichapo, yaani wote wenye masters pamoja na mimi tulikandwa, oral tukawa tunaisikia kwa akina wizy.
 
Kuna jamaa namfahamu ana Masters tena ya mzumbe+CPA ila ile interview ya NAOT aliishia kupata 28%.so sidhani kama Masters ina mchango wowote katika paper za psrs.
 
🤣🤣🤣Mkuu master ni degree ya research tu mkuu hata isikutishe Psrs wanajua mkuu Ukiona kitu kipo hivyo washafanya upembuzi wa maana sana na kuacha iwe hivyo ni degree ya miezi 18 tu isikuchanganye kijana
Kuna masters by coursework na masters by research inategemea umesomea wapi, sio kila masters ni research
 
MTU afanye research na afaulu , anakuwa Yuko Sawa na ambaye hajafanya research kabisa..
Huyu MTU aliyefanya research anakuwa Ameiva vizur kwenye hiyo program.
Na ndio maana unakuta MTU anapiga mpaka 98 unajiuliza inakuaje , kumbe unafanya interview na mtu ambaye tayar amefanya research kwenye hiyo program.
Vijana wenye degree, endeleeni kukwandwa na wenye masters
We jamaa na hiyo perception yako, usipobadilika itachukua muda sana kuelewa mambo yanavyoenda kifasaha.
 
Back
Top Bottom