Mi nashangaa sana watu wasioelewa!!!!Hivi utapeli unatokeaje kama una trade mwenyewe?
Kuna watu wanaitwa Dealing Desk Brokers , hawa wana vimatawi vidogo vidogo vya mawakala chungu nzima ndio jimbuko la ScammersHivi utapeli unatokeaje kama una trade mwenyewe?
Ina mfanano kidogo na Bureau de change tu , kila biashara ina chembechembe za bettingNi biashara kama ya betting.
Siyo Utapeli. Ni akili tuImenishangaza sana kuona kwa Tanzania YouTube Podcasts za kitapeli za forex trading ndizo zinakimbiza kwa views!
View attachment 3584429View attachment 3584430
FOREX sio betting na haifanani na betting lakin risk ake unaweza wasimulia wajukuu wako, kwa kifupi ukiwa unatrade bila kujua signals lazma uache ndala 😁Ni biashara kama ya betting.
Forex sio utapeli kweli isipokuwa kuna watu wanasababisha ionekane ni utapeli pale wanapotapeli wengine kupitia forex, mfano hao wanaofundisha kuwatapeli wengine nakutokuwapa elimu sahihi.Forex sio utapeli ila inamihemko mingi lakini yenyewe haitaki mihemko, ukifanya kama biashara kupoteza ni kudogo sana maana kuna siku hautaigia sokoni utachukulia ni kama biashara leo hakuna wateja unatulia. Mimi niliacha kwa vile nilijua bado sijawa na uhakika wa baadhi ya vitu ila napenda forex
Changamoto ni kwamba mda wowote unapata lose. Na sidhani kama kuna mtu amewahi kua na mastering ya kujua moja kwa moja hio biashara ndo mana mwisho wa siku tutasema tu ni SCAMTofauti ni ikiwa kupata au kopoteza ni 50/50??