Hakika !
Watagongwa sana! Vijana hawataki kufanya kazi halisi, wanataka waweke hela kwenye systems ambazo ni "uncontrollably" wapate hela kwa kuhama "induction". Hakuna huduma wala bidhaa unauza, ila unataka hela itoke kwa Mwajuma ije kwako Hadija. š