Kwanini vijana wa Tanzania ni rahisi sana kuamini utapeli wa forex trading?

Siwezi🤣

We unaziangalia then unaaply kiganja😁
hapana sitazami hua sijihisi huru, hua napoteza amani.

Upande wa kiganja huko co kwangu, pia idadi ya wanwake ni mara 4 zaidi ya idadi ya wanaume so nachoose tu flavor 😋 nnayo hitaji kwa wakati huo ila 🤚 hapana 😃
 
Duhh uko vizuri! Sawa acha mi nikizidiwa nimalizane mwenyewe sitaki soul ties aisee🫢

Na sijui kwanini sikuhizi sihisi kitu so sitohangaika🤭
 
Huhisi kitu ? au usukumani walikufanyia CIRCUMCISION 😅
 
FOREX = FOREIGN EXCHANGE
FOREIGN EXCHANGE = KUBADIRISHA FEDHA
FOREIGN EXCHANGE TRADING = BIASHARA YA KUBADIRISHA FEDHA.

Ukichukua Tshilling zako ukaenda kwa mtu mwenye dollar mkabadilishana kwa exchange rate ya Tshilling 2620. Ukamtafuta mtu mwingine anayetafuta dollar ukampatia hizo dollar kwa exchange rate ya TZS 2650, yeye akakupatia Tshilling zake. Ukarudia hilo zoezi kila saa, kila siku, kila wiki, kila mwezi na kila mwaka. Hapo utapeli uko wapi?

Pesa yeyote ni bidhaa kama bidhaa yeyote. Jambo la msingi uwe na soko. Tatizo watu wanafanya FOREX ya kubahatisha hawana soko.
 
Pesa sio bidhaa kama bidhaa yoyote.
 
Back
Top Bottom