Kwanini vijana wa Tanzania ni rahisi sana kuamini utapeli wa forex trading?

Kwanini vijana wa Tanzania ni rahisi sana kuamini utapeli wa forex trading?

Tufanye kazi huwezi kutajirika kupitia forex na hakuna billion each hata mmoja toka dunia iumbwe aliepata utajiri kupitia forex ,forex ni uhuni kupoteza muda tu kuna washika walikuwa wanatrade forex kuanzia mwaka wa kwanza hadi tunamaliza hakuna walichopata kwa bahati mbaya wawili walidisco
Sikukatazi kufanya forex we fanya but to your own risk
 
Unasoma na kujifunza nini?
Biashara gani nyingine watu wanasoma na kujifunza kila siku kama wako chuo au shule??
Professional traders wanasoma Kila siku soko linabadilika unadhani forex ni betting, hapo as a retail trader unapambana na mabenk makubwa na financial institution kibao. Usiposoma utapigwa tu
 
Hao wapiga stori na forex ilivyo ni vitu viwilu tofauti.







Hao wapiga stori wanakuuzia hope. Na biashara yenye faida ni inayouza tumaini kwa watu desperate.







Angalia dini, dawa za kupata mimba, dawa za nguvu za kiume, dawa za kurefusha maumbile. Mhanga anakua yule yule, mwenye desperation.







Mfanyakazi anayepokea laki 7 na haoni jinsi gani ataiwekeza ni rahisi kumshawishi juu ya forex. Same na graduates. Ni kama ontario alivyowatapeli wanaJF kwa kuwauzia hope juu ya forex

Enzi za Ontario ni noma masta..majuha wengi sana walijaa pale Jangid plaza! Walipunwa haswa..... wajinga wengi sana walijaa !!! Kuna kadada humu sikumbuki ID yake alimuweka pale kama secretary, pia kuna jamaa humu , the Boss kama sijakosea alikuwa anashirikiana nae kutapeli watu...jamaa flan alikuwa analeta sana simulizi hizi pia ..operation za kivita n.k !
 
Forex ni betting Kuna yule governor wa B.O.T alishalielezea hili .. ila tofauti ya hizi biashara mbili ni kuwa Moja unaona kabisa pesa inavyopotea ( betting ) ila nyingine unaambiwa tu pesa imeshapotea ( forex )
 
Professional traders wanasoma Kila siku soko linabadilika unadhani forex ni betting, hapo as a retail trader unapambana na mabenk makubwa na financial institution kibao. Usiposoma utapigwa tu
Huu ndio utapeli na delusion ninayozumgumzia,
Sasa wewe mtu mmoja kajamba nani utawezaje kupambana na mabenki yanaoajiri watu kabisa kwenye foreign exchange department?!
 
Forex trading ni real, siyo utapeli.
Ila hao agents wengi wao ndiyo matapeli.

Na hizo viewers siyo nyingi kihivyo mpaka kufikia hitimisho kwamba Forex trading inaongoza kwa views.
 
Hapana mkuu upo sawa kabisa .

FACT: watu curious sana ndo watu rahisi kua depressed.
Depressed tena🫢

Nimeiona ni ngumu kutumia hii bora kwenye hub! Ila mmh hapana acha tu nitulize wenge kwanza!
 
Back
Top Bottom