Kwanini vijana wa Tanzania ni rahisi sana kuamini utapeli wa forex trading?

Sio vitu tofauti bali ni sehemu au kundi kubwa zaidi la forex, hao ndio sura ya forex, bila hao hakuna mtu atafuatilia forex.
 
Mkuu usipoteze nishati yako kwa watu wapumbavu walioamua kuamini wanachoamini heri kumuelewesha mjinga sababu ana ufahamu na anahitaji kufahamishwa ila sio mpumbavu
 
Biashara nyingine zinahitaji Elimu Kwa kina na sio kukurupuka...Mahali pasipo na Elimu ni rahisi kutapeliwa na matapeli wanahakikisha hawakupi Elimu ya kutosha ili wazidi kukuibia vizuri, Kwa nature ya Waafrika wengi ni watu wa kukurupuka na kupenda sana kupewa na kutafuniwa Kila kitu, hatupendi kujipa kazi ngumu ya kufikiri...
 
Kuna watu wanaitwa Dealing Desk Brokers , hawa wana vimatawi vidogo vidogo vya mawakala chungu nzima ndio jimbuko la Scammers
Na wameibuka baadae sana! Mtu aliyetrade zamani hayumbishwi na brokers
 
Changamoto ni kwamba mda wowote unapata lose. Na sidhani kama kuna mtu amewahi kua na mastering ya kujua moja kwa moja hio biashara ndo mana mwisho wa siku tutasema tu ni SCUM
Scam
Unawaza nini mkuu🤣
 
Imenishangaza sana kuona kwa Tanzania YouTube Podcasts za kitapeli za forex trading ndizo zinakimbiza kwa views!
View attachment 3584429View attachment 3584430
Kama huja accuse ungesema utapeli uko wapi kuliko hii sentensi fupi tu. Nyie ndio CCM inawapenda sana badala ya kutengeneza mazingira wezeshi kwa biashara kama hizi kufanyika kwa urahisi mnazidi kuwaingiza watu gizani kwamba ni utapeli.

Hii dunia ya Information na Teknolojia unaita Forex biashara ya kitapeli.
 
Mazingira si rafiki kivipi?
Trading inataka uwe na muda wa kutosha kufuatilia.Kwa sisi ambao muda mwingi uko busy kazini ni ngumu kuwa na concentration.Inataka Muda wa kutosha kufanya analysis nzuri na pia kuwa na workstation ya uhakika, nataka niwe na room yenye screen kubwa kubwa.
 
Ndiyo utapeli wenyewe huo wanafanya hivyo ili kuwavutia wapumbavu waingie kwenye 18 zao
Nimeanza kutrade since 2018 faida bimeanza kuiona 2023 mpaka leo sijawahi kupost chochote na kuna baadhi ya marafiki waliowahi kuniona nakula mapindi wanaamini hakuna nilichopata toka kipindi kile cha Covid 19.

Tofautisha ego ya mtu na biashara husika.
 
Uko sahihi forex inataka usichezeshe macho, ukae kwenye screen mpaka useme! Na unapaswa kujua taarifa za kisiasa zinaendaje! Raisi mkubwa akisafiri au akitweet dola inapanda vita vikitokea inashuka and so on! Ni kazi na inahiji uisome sana!
 
Watu wanataka "Overnight success" wanataka walale, waamke asubuhi ni matajiri. Waache wapigwe.
Na mzungu mwaka huu anakuja na "Ponzi scheme" nyingine inaitwa Trigonex, ni Forex iyotiwa udambwi udambwi zaidi. Kanuni ni ile ile "Rob Peter to pay Paul". 😆
Atawapiga tena wavimba macho. Atawapiga sio kidogo. 😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…