Hakika !
Tena hao ma ofisa wa PCCB ndiyo matapeli haswaKumbe utapeli haupo PCCB ila officer wa PCCB anaweza kukutapeli kwa kukuahidi uhakika wa nafasi.
Trade kupata hela ya bia na sio kwasababu ya maishaNa wameibuka baadae sana! Mtu aliyetrade zamani hayumbishwi na brokers
Ni utapeli, wanacheza na saikolojia za vijana wenye tamaa ya pesa za haraka bila kuelewa chochote.Hivi kwanini wengi wanaofanya forex wanapenda kuweka wazi hela wanazopata? Mtu anaweka screen shot kadhaaa za before na after mwishoni anaweka $1235.
Hakuna biashara hapo, ni kupoteza muda tu.Trading inataka uwe na muda wa kutosha kufuatilia.Kwa sisi ambao muda mwingi uko busy kazini ni ngumu kuwa na concentration.Inataka Muda wa kutosha kufanya analysis nzuri na pia kuwa na workstation ya uhakika, nataka niwe na room yenye screen kubwa kubwa.
Jambo lolote ambalo ili wewe upate lazima mwingine apoteze ni scam tu.Kama huja accuse ungesema utapeli uko wapi kuliko hii sentensi fupi tu. Nyie ndio CCM inawapenda sana badala ya kutengeneza mazingira wezeshi kwa biashara kama hizi kufanyika kwa urahisi mnazidi kuwaingiza watu gizani kwamba ni utapeli.
Hii dunia ya Information na Teknolojia unaita Forex biashara ya kitapeli.
Mhh trader πMimi nimekuwa close na traders jamani sijaona huo utapeli!
Sio mimiπ€£Mhh trader π
Wana JF hamna dgo kwenye spelling utafkili walimu wa DICTATION π πScam
Unawaza nini mkuu π π
Mi ni mwalimu wa pronounciationπWana JF hamna dgo kwenye spelling utafkili walimu wa DICTATION π π
Lakin mm nimeandik cja pronounce π πMi ni mwalimu wa pronounciationπ
Sawa we andika tu scum mi simoπLakin mm nimeandik cja pronounce π π
Mkuu biashara ya kubadilishana fedha na sarafu iko duniani kote na ni halali kabisa. Endelea kuvuta viatu mkuu forex trading ni scam na iweke mbali na familia yako.Jambo lolote ambalo ili wewe upate lazima mwingine apoteze ni scam tu.
Hyo ni scum inayo maanisha tusi au takataka. achana na scam ya udanganyifu πSawa we andika tu scum mi simoπ
Sawa we andika tu scum mi simoπ
Do you accept my comeback ?ππHyo ni scum inayo maanisha tusi au takataka. achana na scam ya udanganyifu π
Mimi nikawaza ile scum bila s ila akili zanguπ€¦π½ββHyo ni scum inayo maanisha tusi au takataka. achana na scam ya udanganyifu π
Hahhaa never! Hii haina comeback..πDo you accept my comeback ?ππ
hyo too much π€£ππΎMimi nikawaza ile scum bila s ila akili zanguπ€¦π½ββ
Naangalia sana movie mkuuπ€£hyo too much π€£ππΎ
Mmh hzo ni movie kweli mkuu co borwap.com kweli ?Naangalia sana movie mkuuπ€£