Kwanini vijana wa Tanzania ni rahisi sana kuamini utapeli wa forex trading?

Tufanye kazi huwezi kutajirika kupitia forex na hakuna billion each hata mmoja toka dunia iumbwe aliepata utajiri kupitia forex ,forex ni uhuni kupoteza muda tu kuna washika walikuwa wanatrade forex kuanzia mwaka wa kwanza hadi tunamaliza hakuna walichopata kwa bahati mbaya wawili walidisco
Sikukatazi kufanya forex we fanya but to your own risk
 
Unasoma na kujifunza nini?
Biashara gani nyingine watu wanasoma na kujifunza kila siku kama wako chuo au shule??
Professional traders wanasoma Kila siku soko linabadilika unadhani forex ni betting, hapo as a retail trader unapambana na mabenk makubwa na financial institution kibao. Usiposoma utapigwa tu
 

 
Forex ni betting Kuna yule governor wa B.O.T alishalielezea hili .. ila tofauti ya hizi biashara mbili ni kuwa Moja unaona kabisa pesa inavyopotea ( betting ) ila nyingine unaambiwa tu pesa imeshapotea ( forex )
 
Professional traders wanasoma Kila siku soko linabadilika unadhani forex ni betting, hapo as a retail trader unapambana na mabenk makubwa na financial institution kibao. Usiposoma utapigwa tu
Huu ndio utapeli na delusion ninayozumgumzia,
Sasa wewe mtu mmoja kajamba nani utawezaje kupambana na mabenki yanaoajiri watu kabisa kwenye foreign exchange department?!
 
Forex trading ni real, siyo utapeli.
Ila hao agents wengi wao ndiyo matapeli.

Na hizo viewers siyo nyingi kihivyo mpaka kufikia hitimisho kwamba Forex trading inaongoza kwa views.
 
Hapana mkuu upo sawa kabisa .

FACT: watu curious sana ndo watu rahisi kua depressed.
Depressed tena๐Ÿซข

Nimeiona ni ngumu kutumia hii bora kwenye hub! Ila mmh hapana acha tu nitulize wenge kwanza!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ