Kwanini vitabu vya dini havijataja sayari zingine zaidi ya Dunia?

Mkuu kuna watu hobby yao kubwa ni kufuatilia space au universe kama vile kulivyo na wengine hobby yao ni kufuatilia simba na yangu mchana na usiku, wengine kukata mauno wakicheza komasavaaa..
 
How Could you Have Faith when There is No hope??

Kwanini Unamuambia Aamini Kwenye Wokovu Blindly bila Kujua Anaenda wapi na kufanya nini Na hajui Kuhusu Viti vinavyomzunguka Je unahisi Atapataje Imani bila Kuwa na Tumaini??
 
How Could you Have Faith when There is No hope??

Kwanini Unamuambia Aamini Kwenye Wokovu Blindly bila Kujua Anaenda wapi na kufanya nini Na hajui Kuhusu Viti vinavyomzunguka Je unahisi Atapataje Imani bila Kuwa na Tumaini??
There is hope through faith in Christ. Wamwaminio Kristo tumaini lao ni Mbinguni; iko very clear. Na uzuri wa Mbinguni ni namna ambavyo akili ya mwanadamu haikupata hata kuwaza.
 
There is hope through faith in Christ. Wamwaminio Kristo tumaini lao ni Mbinguni; iko very clear. Na uzuri wa Mbinguni ni namna ambavyo akili ya mwanadamu haikupata hata kuwaza.
Wapi umeambiwa unaenda Mbinguni???
Na unaenda mbinguni kufanya nini??

Hebu nisaidie hayo majibu ukitumia maandiko ya biblia
 
Soga za mbinguni na motoni, visakale kuhusu uumbaji, hekaya za Immanuel, mtume Mo, na manabii kadha wa kadha. Tarihi mbalimbali zinazoelezea uchawi wa yesu na baba yake plus watu wao wa karibu. Vyote havina uhalisia na ukihoji sana unaambiwa acha utakufuru.

Let's be serious guys, it doesn't make sense that there's a nigga up there who did everything and can do anything just by the word of his mouth.
😂😂 There iz hopuuu.
Yes there's hope 😃
 
Kwa sababu hivi vitabu vimetungwa na watu kama wewe na mimi na kingine kimeletwa na shetani / majini wasio na upeo wowote juu ya dunia zaidi ya kutesana tu na kutishiana amani.
 
Wewe Biblia huijui na nina mashaka kama elimu ya sayansi unayo ya kutosha kiasi cha kujaribu kuandika ulichoandika
 
Huwa unasoma mwenyewe au unaokoteza stori za mtaani? Kaini alipofukuzwa aliondoka na mke wake tayari sio kwamba alienda kuoa kule alikoenda na mke alikuwa ni dada yake kwa sababu Adamu alikuwa na watoto wa kike na Mungu wakati huo aliruhusu wazaane kwa sababu wao ni watu wa kwanza, amri ya kuzuia ndugu kuoana ilikuja baadae sana

Ukisoma Mwanzo 1:1 inasema, Mungu aliumba mbingu na nchi halafu ndo inaendelea kukwambia nchi ilikuwa ukiwa na utupu sasa unachoshangaa hapo ni nini? Yani bado unauliza vimetokea wapi kwani ushasahau kwamba ulisoma Mstari wa 1?

Yani hata watu wa zamani walioandikwa kwenye Biblia hiyo hiyo walikuwa na uwezo mkubwa wa kujenga hoja kuliko mwanasayansi wewe
 
Anaeleta debate kwenye umbo la dunia hajielewi proof zipo ikiwemo picha za satelite sasa debate ya nini
Umewahi kusikia domeshape ? Kagoogle uone km nayo theory zake uone zilivyo na point
 
Assuming kwamba Mungu ndiye alikuwa anaandika kupitia wao, je Mungu alikuwa hajui kuhusu hizo sayari zingine?
Quran imejaa Aya za Anga, na Wana sayansi wengi wa Mwanzo walikua inspired na Quran na kuanza kufanya Exploration Ya Anga.

Baadhi ya Aya za Quran zinazohusu Anga

1. AND IT IS We who have built the universe with [Our creative] power; and, verily, it is We who are steadily expanding it. Quran 51:47

Hapo Mwenyez Mungu anaelezea yeye ndio Ameumba Universe na yeye ndio anaeitanua, hii ni Ugunduzi wa karibuni tu kwamba Universe ina Expand

2.And We made heaven as a guarded roof. Yet they are ones who turn aside from its signs. QURAN 21:32

kila mtu sasa hivi anajua kwamba Anga ni kama paa linalotulinda na vilivyo nje ya Dunia kama mwanga wa jua etc.

3.and [fail to see that] it is He who has created the night and the day and the sun and the moon - all of them floating through space Quran 21:33

Hio Aya inayo jibu swali lako

4. ARE, THEN, they who are bent on denying the truth not aware that the heavens and the earth were [once] one single entity, which We then parted asunder? – and [that] We made out of water every living thing? Will they not, then, [begin to] believe Quran 21:30

Hapo Mwenyez mungu anaelezea Universe ilikua ni kitu kimoja na kikajiachia, theory ambayo inaelezewa kama Bing bang, Pia anaelezea kuhusu viumbe vyote hivyo

Kuna Aya nyingi za Anga na nyengine zinaingia deep zaidi, hivyo si kweli kwamba vitabu vya dini havijazungumzia, it's just vijana wa siku hizi ni much know sana, Ego 99.9999% na kujifanya mnajua kila kitu na Elimu 0.0001%
 
Dini imetaja ulimwengu yaani universe na ndani ya ulimwengu ndimo mlimo sayari zingine.

Kwahiyo ulivyoambiwa umeubwa uje uutawale ulimwengu inamaanisha Dunia pamoja na vyote vilivyopo nje yake, ila dini imeongelea sana Dunia kwakua ndimo wewe ulimo ila ukijiongeza na kutoka nje ya mipaka hii ya Dunia still bado utakua ndani ya universe so baba yako wa mbinguni atafurahia kwamba alichokutuma unakitimiza vyema 😆😆

Ulimwengu ni jumla ya vitu vyote vilivyopo. Inajumlisha Dunia yetu pamoja na kila kitu ndani yake, jua letu, mfumo wa jua, sayari, nyota, galaksi n.k. Ni jumla ya mata, nishati na anga la Dunia pamoja na anga-nje.
 

Wewe tunafaili lako mirembe, utarudi tu siku moja tutakelekeza qibla inshaalah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…