Kwanini vitabu vya dini havijataja sayari zingine zaidi ya Dunia?

Again someni na muache cheap politics aisee ambazo hazina maana.

Hapa imeelezewa vizuri soma

Scholars wa kiisilamu since karne za mwanzo wa naongelea Quran ipo round, ukumbuke Wakati huo Waroma waliamini Dunia ipo flat, na kuna Aya nyingi zinaongelea uduara wa Dunia, na sio Duara tu Uisilamu pia unaelezea hio shape kama yai,. Kwamba ni duara ila sio perfect sphere. Hii Pia inakinzana na hoja yako kwamba Eti Quran ilichukua hoja Zinazokubalika wakati huo, Roman walikua super power na wengi waliwafuata blindly, Quran ikaenda against vitu ambavyo mpaka leo ni kweli.

Na kwanini Quran kuongelea ku expand Anga haina mahusiano na ku expand Anga hii hoja gani unatoa hapa?

According to Quran universe Zote duniani zipo ndani ya Mbingu ya kwanza, na kuna Mbingu 7, Mbingu then kuna Arsh na Quds, size difference between Arsh na Mbingu 7 ni kama tone La maji na Bahari, so so far Sayansi haija disprove chochote ilichosema Quran bali ina discover taratibu hizo claim kila siku.

Pia haijaanza leo Quran utofautiana na sayansi Na watu kuidhihaki Quran mpaka pale sayansi inapo advance na kukubali ana na Quran,
 
Bro hakuna Expanding earth kuna Expanding universe.

Pia kuspread out haimaanishi kitu ni flat, ili upate maana ya kitu unatakiwa uunganishe Aya zote kuna link juu nimeweka hapa
“He created the heavens and the earth for a purpose. He wraps (yukawwiru) the night around the day, and wraps the day around the night. And He has subjected the sun and the moon, each orbiting for an appointed term. He is truly the Almighty, Most Forgiving.”

Neno Yukawwiru kinatumika ku wrap nguo kwenye kitu ambacho ni round, kama unapovaa kilemba wakati huo waarabu walikuwa wanavaa hivyo, scholars wengi wakati huo wa katafsiri shape ya Dunia kama round.
 
Ukishajua Kuna sayari nyengine wewe itakusaidia nini katika kutafuta ugali wako wa kila siku
 
Kuhusu jua kuzama kwenye muddy spring..
Al-Kahf 18:86 inasemaje mkuu?

Plus, umbo la dunia ni duara.. si tambarare..
Sehemu kadhaa ndiyo huwa tambarare.
😊
 
Kwanini usishee nasi hizo specific aya za kurani zinazoonesha hizi claims?

Pia, tunaweza kuthibitisha uwepo wa universe..Je, unaweza kuthibitisha uwepo wa mbingu?
 
Kuhusu jua kuzama kwenye muddy spring..
Al-Kahf 18:86 inasemaje mkuu?

Plus, umbo la dunia ni duara.. si tambarare..
Sehemu kadhaa ndiyo huwa tambarare.
😊
Tunaishi kweny uso wa dunia ni tambarare hakuna duara ndani ya dunia ...Nje ya dunia ndio duara ila ila sio kweny ardhini ..Kma ingekuwa ni duara unafirikia tengejengaje .

Unapoenda juu zaidi unaona duara na huwezi kuona clear view ya vyote , unaona kama ramani kwa mbali sana ..Concept haipo ni kwamba tunapoishi ni tambarare ndio maana tunajenga majengo kuelekea juu yakiwa kweny usawa.

AL kahf kasome vizuri concept ya kuzma kwa jua .

 
Nimeshtushwa sana khaaa
 
Kwanini usishee nasi hizo specific aya za kurani zinazoonesha hizi claims?
Link Nimekuekea hapo, imeandika Aya hadi Scholars wa Mwanzo wa Uisilamu walivyokuwa against scholars wa Roma kuhusu shape ya Dunia,
Pia, tunaweza kuthibitisha uwepo wa universe..Je, unaweza kuthibitisha uwepo wa mbingu?
Quran haijashushwa kwa ajili ya 2024 ni timeless hadi mwisho wa Dunia, taratibu sayansi inakua na kila siku ina prove hivyo Quran ilivyo claim. Kitabu kilichoandika Dunia inazunguka kwenye orbit, Universe ina Expand, sisi ni kama kipunje tu kwenye Anga, Dunia ni shape ya mviringo etc it's just matter of time tech ya Camera ikikua nayo ita prove kuna Space nyengine beyond Universe.
 
Nashukuru umekubali kwamba dunia Ina umbo la duara.
Hatulioni tukisimama juu ya uso wa dunia kwa sababu ya ukubwa wa dunia vs udogo wetu sisi.
Hata sisimizi anaweza kuona balloon kubwa kama tambarare kwa Sababu size yake inamruhusu kuona umbali mfupi sana.

Pia, kuhusu jua kuzama matopeni, kurani imeandika hivyo, sijui kwanini waumini mnataka kutafutia tafsiri statement iliyo wazi kabisa.
 
Hayo ya kungoja ije camera nyingine ni yajayo.

Yaliyopo sasa ni kwamba ,Science inavyozidi kukua ndivyo inavyozidi ku-prove mapungufu ya Scientific concepts kadha wa kadha zilizoandikwa kwenye kurani.
Baadhi nilishazitaja.

Anyways, kurani ni kitabu cha imani, bora mngefocus na imani tu.
Sijui kwanini waislamu mna-assume kwamba ni kitabu kamilifu kwenye kila angle ya maisha!
Huu mtazamo ndiyo utaendelea kukikosesha maana hicho kitabu kwa kadri maarifa ya binadamu yanavyokuwa na vizazi vinavyobadilika.
 
Huja disprove chochote mkuu vyote ulivyoongea vinajulikana na vina majibu yake, na Quran ni kitabu cha Signs, Kupitia hizo Signs ndio inakuja Imani, kuna predictions na signs mbalimbali kuonesha binadamu wa kawaida hawezi fanya hizo guess.
 
وَإِذَا الْكَوَاكِبُ انتَثَرَتْ ﴿٢﴾

2. Na sayari zitakapoanguka na kutawanyika.

سورة الإِنْفِطَار

au unakusudia vitabu vya dini gan mkuu?
 
There is hope through faith in Christ. Wamwaminio Kristo tumaini lao ni Mbinguni; iko very clear. Na uzuri wa Mbinguni ni namna ambavyo akili ya mwanadamu haikupata hata kuwaza.

There is hope through faith in Christ. Wamwaminio Kristo tumaini lao ni Mbinguni; iko very clear. Na uzuri wa Mbinguni ni namna ambavyo akili ya mwanadamu haikupata hata kuwaza.
Which Christ?
 
NASA wenyewe kwa wanayoyagundua leo wanasema kuna nguvu kubwa iliyofanya haya yote..wanaenda mbali zaidi na kusema upo uwezo mkubwa uliyofanya haya yote kwemye universe.

Nikikuuliza hapo ulipo hii gravitation force 9.81 ilitokeaje? Na kwa nini ukienda juu zaidi inapotea?
Kwa nini ipo Duniani tu na kwenye sayari nyingine haipo?

Haya yote ndiyo yanatufanya sisi TUAMINIO tukili kuna nguvu ya uumbaji ambayo ni MUNGU mwenye enzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…